Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Vyovyote uniite, huo ni mtazamo wako.

Waulize wakazi wa Dar kuhusu Makonda, watakueleza ni namna gani walivyonufaika na uongozi wake, ni kijana mbunifu wa mambo mengi.

Kuangalia dosari zake peke yake bila kuangalia mema aliyofanya kusaidia watu ni kipimo cha chuki uliyonayo dhidi yake.

Kuachwa kurudishwa kwenye uRC, ni kutokana na msimamo wa Magufuli wa 'cheo kimoja mtu mmoja' na wateule wote waliokaidi rai hiyo na kwenda kugombea Ubunge waliondolewa kwenye nyadhifa zao hilo linafahamika.

Kina mama wengi waliodhulumiwa nyumba na utapeli mwingine, aliwasaidia na mpaka leo wanamkumbuka kwa wema, walimu walipanda dala dala bure nk nk.

Nadhani tufunge ubishani, endelea na mtizamo wako kama hautaki kubadilisha mind set yako.

Rai yangu kwako ni kwamba usilibeze jambo lolote analolifanya Makonda kwa sasa la kusaidia watu, usiwepo mtu mmoja kuchongoroa domo nyuma ya keyboard kupingana na umma .

Embu pitia pitia yuo tube na mitandao mingine uone msimamo wa wadau kuhusu kiongozi huyo.
Unajichosha mkuu.ufipa hata mmoja hakuna ataepongeza, imekua kama kenge anapigwa mpaka anakufa hakubali. Tatizo hatusom visa vya zaman kujua uongoz ni kitu gani, hatima yake leo kiongoz aki deal na raia wake watu wanakimbilia mifumo mibovuuu,kelele nying,katiba mpya na makelele mengine, ukiwa kiongoz wa watu,muda mwingine mifumo inafanya muda mwingine inalega lega,bas tusingekua na haja ya viongoz kama mifumo ipo,amir l muumin Umar inn khatab( 3rd caliphate) who conquer mpaka spain yote huko alikua ana tabia usiku ukifika anavua mavaz yake anavaa kama maskin wengine tu,anachkua mlinzi wake anaingia mitaan kujua tu hali za raia wake.

Mind you huyu ni kiongoz mpaka dola ya rumi wanamjua, siku moja katika pita pita yake na mlinzi au kijakaz wake akiitwa Aslam walianza kupiga patroo mitaan na yeye Omar kama mfalme akawa anashkuru anasema asnate mungu watu wamelala hakuna mwenye tatizo, hajakata kona anana nyumba moja mwangaza wa taa unawaka sauti za watoto wanalia lia zinasikika,Akaenda wakagonga mlango,ulivofunguliwa akauliza mbona watoto wanalia na unapika,yule mama akasema kwenye jiko nimetenga sufuria nimeinjikamo mawe nawazuga zuga watoto mpaka wanachoka wanalala,sina cha kupika, laiti mfalme angejua shida za raia wake, basi Omar akarudi makao akabeba kiroba cha unga,na vitu vingine msaidiz wake anataka kumwambia boss leta nibebe Omar akakataa akabeba mwenyewe mpaka kwa yule mama,chakula kikapikwa watoto wakala wakawa wamefurahi sana.na Omar akamuhakikishia yule mama mahitaji yake atayatimiza ,mama akafurah sana na akasema laiti Omar angekua kama wewe unavyojali bas nchi ingekua mbali,Omar akamuuliza lakin Omar unamjua? Akasema hapana.bas wakawaacha watoto pale wamekula na kufurahi toka katika njaa ya siku 3 ,na mama yule akaambiwa kesho njoo geti jeupe,kufika anakuta aliyemletea vyakula ndio kumbe kiongozi mwenyewe. Nini moral of the story?

Ni kwamba ku interact na raia kiutawala ni aula na ni jambo murua ufipa wamekalia kelele tu
 
Soma sheria aliyozungumzia Makonda utaelewa vizuri, kwenye maelezo yake amesema lazima kuwepo na "checks".
Sasa checks za Mhimili wa Mahakama ndiyo Makonda? Mbona unajitoa ufahamu kwa kumshabikia huyu Zerobrain!!
 
Soma sheria aliyozungumzia Makonda utaelewa vizuri, kwenye maelezo yake amesema lazima kuwepo na "checks".
Sasa checks za Mhimili wa Mahakama ndiyo Makonda? Mbona unajitoa ufahamu kwa kumshabikia huyu Zerobrain!!
 
Soma sheria aliyozungumzia Makonda utaelewa vizuri, kwenye maelezo yake amesema lazima kuwepo na "checks".
Sasa checks za Mhimili wa Mahakama ndiyo Makonda? Mbona unajitoa ufahamu kwa kumshabikia huyu Zerobrain!!
 
Soma sheria aliyozungumzia Makonda utaelewa vizuri, kwenye maelezo yake amesema lazima kuwepo na "checks".
Sasa checks za Mhimili wa Mahakama ndiyo Makonda? Mbona unajitoa ufahamu kwa kumshabikia huyu Zerobrain!!
 
Mkuu nakubali unachosema. Ila kwa Sasa tupo desperate hivyo ni Bora atakaye tusaidia hata robo au nusu kuliko ambaye hawezi kutusaidia.
Mkuu hapo tunakua tunalisuka tatizo upya.
Tutafute njia ya kulifuta kabisa.
 
The gentleman is very focused, determined, a hard worker, creative and for sure he is going to transform Arusha and make it great again 🐒

Eid Mubarak to you all, JF family 🌹
ameshahamia kwenye nyumba ya RC? ati focused maajab hayash dunan
 
aah !!!
sasa gubu na mishangao yako ya wengi pamoja na wewe, vinabaki maswala binafsi mioyoni mwenu tu, but kijana anafanya mambo bayana hadharini mchana kweupe, tena bila kificho 🐒
ameshahamia kwenye nyumba ya RC? ati focused maajab hayash dunan
 
Huyo mwananchi anayemfuata Makonda asiye na mamlaka yeyote iwe ardhi, ndoa, biashara anapoteza muda tu.

Nasikitika Watanzania bado wajinga sana
Hata wenye mamlaka wanaotakiwa kufanya hivo hawafanyi..cha muhimu wampata Bega la kuegema na kutoa la moyoni wakaskiizwa na nafsi ikafarijika hata km uteklezaji utachkua mhakato mrefu au isitekelezeke kabisa
 
Pengo alikumwagia baraka za kutosha, piga mzigo.
Sasa yule mnafiki Pengo anaweza kugawa baraka gani na Mungu azikubali?

Angeanza kwa kumungamisha Makonda dhidi ya dhambi hizi ndipo ambariki:-
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
 
Hivi anayofanya bashite ya kuwapa watu haki zao.MAHAKAKAMA INASHINDWA NINI?
 
Mhe. Makonda angekuwa waziri angewasaidia wananchi wengi, tatizo yupo Mkoa wa Arusha tu, je sisi tulio nje ya mkoa huo tunapataje msaada wake?
Tunamuomba Mhe. RAIS aangalie namna yoyote ile Makonda awe waziri asiye na wizara maalum ili aweze kushughulikia kero za wananchi wote.
 
Back
Top Bottom