julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Unajichosha mkuu.ufipa hata mmoja hakuna ataepongeza, imekua kama kenge anapigwa mpaka anakufa hakubali. Tatizo hatusom visa vya zaman kujua uongoz ni kitu gani, hatima yake leo kiongoz aki deal na raia wake watu wanakimbilia mifumo mibovuuu,kelele nying,katiba mpya na makelele mengine, ukiwa kiongoz wa watu,muda mwingine mifumo inafanya muda mwingine inalega lega,bas tusingekua na haja ya viongoz kama mifumo ipo,amir l muumin Umar inn khatab( 3rd caliphate) who conquer mpaka spain yote huko alikua ana tabia usiku ukifika anavua mavaz yake anavaa kama maskin wengine tu,anachkua mlinzi wake anaingia mitaan kujua tu hali za raia wake.Vyovyote uniite, huo ni mtazamo wako.
Waulize wakazi wa Dar kuhusu Makonda, watakueleza ni namna gani walivyonufaika na uongozi wake, ni kijana mbunifu wa mambo mengi.
Kuangalia dosari zake peke yake bila kuangalia mema aliyofanya kusaidia watu ni kipimo cha chuki uliyonayo dhidi yake.
Kuachwa kurudishwa kwenye uRC, ni kutokana na msimamo wa Magufuli wa 'cheo kimoja mtu mmoja' na wateule wote waliokaidi rai hiyo na kwenda kugombea Ubunge waliondolewa kwenye nyadhifa zao hilo linafahamika.
Kina mama wengi waliodhulumiwa nyumba na utapeli mwingine, aliwasaidia na mpaka leo wanamkumbuka kwa wema, walimu walipanda dala dala bure nk nk.
Nadhani tufunge ubishani, endelea na mtizamo wako kama hautaki kubadilisha mind set yako.
Rai yangu kwako ni kwamba usilibeze jambo lolote analolifanya Makonda kwa sasa la kusaidia watu, usiwepo mtu mmoja kuchongoroa domo nyuma ya keyboard kupingana na umma .
Embu pitia pitia yuo tube na mitandao mingine uone msimamo wa wadau kuhusu kiongozi huyo.
Mind you huyu ni kiongoz mpaka dola ya rumi wanamjua, siku moja katika pita pita yake na mlinzi au kijakaz wake akiitwa Aslam walianza kupiga patroo mitaan na yeye Omar kama mfalme akawa anashkuru anasema asnate mungu watu wamelala hakuna mwenye tatizo, hajakata kona anana nyumba moja mwangaza wa taa unawaka sauti za watoto wanalia lia zinasikika,Akaenda wakagonga mlango,ulivofunguliwa akauliza mbona watoto wanalia na unapika,yule mama akasema kwenye jiko nimetenga sufuria nimeinjikamo mawe nawazuga zuga watoto mpaka wanachoka wanalala,sina cha kupika, laiti mfalme angejua shida za raia wake, basi Omar akarudi makao akabeba kiroba cha unga,na vitu vingine msaidiz wake anataka kumwambia boss leta nibebe Omar akakataa akabeba mwenyewe mpaka kwa yule mama,chakula kikapikwa watoto wakala wakawa wamefurahi sana.na Omar akamuhakikishia yule mama mahitaji yake atayatimiza ,mama akafurah sana na akasema laiti Omar angekua kama wewe unavyojali bas nchi ingekua mbali,Omar akamuuliza lakin Omar unamjua? Akasema hapana.bas wakawaacha watoto pale wamekula na kufurahi toka katika njaa ya siku 3 ,na mama yule akaambiwa kesho njoo geti jeupe,kufika anakuta aliyemletea vyakula ndio kumbe kiongozi mwenyewe. Nini moral of the story?
Ni kwamba ku interact na raia kiutawala ni aula na ni jambo murua ufipa wamekalia kelele tu