Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Ni yey pekee anaoneka Yuko serious ktk shida za raia tofauti na wengine

Kila maahali anako kwenda anapokelewa na maelfu ya raia wenye shauku ya kumuona na kumlilia awatatulie shida zao

Nikiwa rais namteu awe waziri mkuu
Kuna wakati unaonekana mtu wa maana ila kwa kusifia mtu kama huyu, unajiangusha mkuu
 
Kwanza amesema yule mdada alikuwa hasikiki vizuri,wakati yule mdada alikuwa anasikika vizuri.

Kosa la pili,ni kwamba kasema yule mdada siyo mzuri kuliko mke wake. Hilo ni kosa,kwa sababu mwanamke hataki kuambiwa yeye siyo mzuri.

Sasa ingefaa Makonda angesema neno kuwatuliza watu wanaolalamika.

Mtu wa Custom huwa anataka tu ulipe ushuru,hataki kukunyang'anya mzigo wako.

Kwa hiyo hawa watu wana complain,isieleweke kwamba wanataka Makonda ajiuzulu.
 
Akae kando, hafai kuwa mtumishi wa umma..
 
Mdogo mdogo hadi aliwe kichwa, kwa umri wake hawezi kutishika na maneno tu.
 
Yaani ningekuwa ni mimi Huyu Arasii angenilipa fidia kubwa sana kwa kudhalilisha utu wangu mbeke ya kadamnasi
 
HUMU NDAN MJIFUNZE KUSAMEHE MSIPOSAMEHE HAMFANIKIWI MAKONDA N BINADAMU KAMA WENGINE ANA MAPUNGUFI NA MAZIRI YAKE
 
Mheshimiwa kazi yako inaonekana toka umeteuliwa kuongoza mkoa wa Arusha. Rushwa na uzembe kazini vimeisha chini ya uongozi wako.

Na punde naona ukitunukiwa honorary doctorate (Honoris Causal) toka Chuo kikuu Cyprus.

Wabillahi Taufiq
 
Nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom