Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
We unaishi wapi?Mitaa gani hiyo?
India choosed Chinese .😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hem jamani tutumie kiswahiliReality is corona exists. Reality it is spreading fast...reality is we should take steps and protect ourselves...
Hata kama ni CCM mwenzako usimtete huyu mjinga.To us Tanzanians corona is just a hoax as it has no power over us as a nation on Sunday we are giving it a send off party
Ndicho ulicho ambulia hicho kati ya vyote ..India choosed Chinese .😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hem jamani tutumie kiswahili
ya kenya huko tushamaliza.May 19, 2020
Nairobi, Kenya
Tanzania yaongoza kwa corona mpakani
Kenya yaripoti visa vya wenye corona ktk vivuko vya mpaka wa Tanzania na Kenya. Vivuko hivyo ni vya Namanga, Horohoro, Isebania, Lungalunga , Holili na Loitoktok...
Hahahaaaaha.Bibi kua na akili basi hata kidogo, Malaria ni pandemic? ina ambukizwa kwa mikusanyiko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia jina la hiyo koment na hiiNdio. Yapo makosa mengine sema nimewaachia walimu wako waliokufundisha ungenchosha buree.
Ila acha ubishi. Tumia kiswahili
Multiple ID syndrome.Angalia jina la hiyo koment na hii
Bibi kua na akili basi hata kidogo, Malaria ni pandemic? ina ambukizwa kwa mikusanyiko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaona na kuyasikia mengi mwaka huu, tumeishinda corona wakati hatujui takwimu ziko vipi
Usisikilize wanasiasa! Jukumu la afya yako ni wewe mwenyewe. Corona bado ipo. Chukua tahadhari. Jilinde wewe na watu wengine.
Jiulize kwanini hawatoi takwimu?!
Mimi siwezi kuwaamini wanasiasa wa kibongo hasa wa CCM ndio kabisa. Waweke data kamili bila kufichaficha. Hii ya kuambiwa eti wagonjwa wamepungua bila informations za uhakika ni changa la macho.Mkipewa takwim mnakataa, msipopewa mnalalamika. Mnataka nini?
Tuseme wabongo wote wana corona, umefurahi saa? Endelea kujifungia wakati wengine wanapiga kazi kama kawa.
Mimi siwezi kuwaamini wanasiasa wa kibongo hasa wa CCM ndio kabisa. Waweke data kamili bila kufichaficha. Hii ya kuambiwa eti wagonjwa wamepungua bila informations za uhakika ni changa la macho.
No body can buy that crap.
Wapi ambapo hujaelewa. Yes they choosed chines medical equipments. In the end wamegundua vina shida.India choosed Chinese .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hem jamani tutumie kiswahili
Calm down calm down baharia wa nchi kavu. Lugha za watu zina taratibu zake. Umekosea rekebisha (edit) maisha yaende mbele au nyamaza kama huwezi kurekebisha.Wapi ambapo hujaelewa. Yes they choosed chines medical equipments. In the end wamegundua vina shida.
Bado hujaelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app