Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
We unaishi wapi?Mitaa gani hiyo?
Chukua tahadhali ndugu, acha kusikiliza wanasiasa.
Rais ambaye ndiye msemaji mkuu kuhusu Covid, kasema ugonjwa umepungua, hajasema umekwisha, na kasisitiza tena, chapeni kazi lakini mchukue tahadhari. Makonda siyo msemaji, wala kwenye ile kamati hayumo, anatangaza corona imeisha.
Ndiyo maana nikasema, za kuambiwa changanya za zako, utaua watoto. maambukizi yapo.