Inawezekana Yesu wa Tanzania ni tofauti na Yesu wa RomaNa Mungu atusaidie, Huu ni ushindi mkubwa kwa wote wanaomwamini YESU.
Yesu alisema ukiwa na imani kama punje ya haradali basi waweza amisha milima, imani ya MAKONDA na MAGUFULI ndiyo YESU amezungumzia, nakwambieni maisha yanarudi kama zamani, piga keleleeeeeee
Kumbe ninyi kwa ninyi hamuelewani? Wewe umemtetea sana humu. Ulikuwa unamtetea mtu usiyemwelewa!!? Maajabu ya binadamu wa Tanzania hayataisha.Sijawahi kumuelewa Makonda hata siku moja!
Hata mimi nimeshangaa, huyu huyu au fuse zilipiga shortKumbe ninyi kwa ninyi hamuelewani? Wewe umemtetea sana humu. Ulikuwa unamtetea mtu usiyemwelewa!!? Maajabu ya binadamu wa Tanzania hayataisha.
Ni kweli! Corona kwisha habari yake, tumshukuru Mungu, hongera Tanzania, hongera Magufuli.Rais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona.
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya.
Ruhusa ya maambukizi ya kijamii ili kutengeneza hard immunity...
Watakaokufa na wafe watakaobaki na waishi...
Za kuambiwa....
Kwani wewe umeugua? Kweli mnaaminishwa ujinga huo na kina Bashite? Nawaambia furaha yao wawaone mnakufa kama ndezi, haya fanyeni hayo maigizo.Mkuu kama wewe hujaugua shukuru Mungu,ni ajabu unataka kusikia wengine wameugua kadhaa.chunga usije kuwa mmona wao maana huna kinga yoyote.
watu hawana maambukizi kama vile ambavyo wewe huna.
Ilikuwa ni KLM inatua KIA yani yenyewe ni Tia maji Tia maji.Corona imeisha bila takwimu kujulikana.
Pia miili ya marehemu hawapimwi Corona kwa sababu wameshakufa huwezi kuwasaidia.
Basi Pandemic imeisha, watalii wataanza kuja. Mashirika ya ndege, siwezi kuyataja hapa, yana bookings za watalii wetu mpaka December. Yaani ndege zimejaa.
Mitaa gani hiyo?Sina hakika kama kweli vimeisha, maana kuna viashiria tunaviona huku mitaani. ingekuwa bora kama tungeendelea kusisitiza precautions za kitaalamu kuliko kuruhusu mikusanyiko halafu baadaye iwe kilio.
za kuambiwa changanyeni na za kwenu msije ua watoto na wapendwa wenu
Unauliza genye jela?Kwahivyo corona imeisha?
Kabisa tofauti .Roma wanaabudu corona ndio.maana wamefunga makanisa watu wasiabudu sisi Tunasbudu Yesu ndio maana makanisa hayajafungwa
Corona imeeisha?Rais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona.
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya.
Mitishamba imesaidia