Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
"Mzee Punch" style.View attachment 1454672
Tumsifu Raisi wetu na Baraza lake la Mawaziri kwa mkakati huu mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Mzee Punch" style.View attachment 1454672
Tumsifu Raisi wetu na Baraza lake la Mawaziri kwa mkakati huu mzuri
Unafikiri wa kina "Bia Yetu" watakuelewa? Kwa demonstration hii wao wanaona "mabuzi dume".
😂😂😂😂😂View attachment 1454672
Tumsifu Raisi wetu na Baraza lake la Mawaziri kwa mkakati huu mzuri
Mungu hawasikii wenye dhambiYES we gonna show them those corona Worshippers that corona to Tanzanians is not only a hoax but a daughter of the bitch!!
Tangu lini takwimu zikaleta hofu, mbona kila wakati polisi wanatoa takwimu za ajali barabarani na hamlalamiki kuwa zinaleta hofu.Kujua takwimu sio ndio kuishinda Corona bali ni kifuata taratibu na maelekezo ya serikali ili kuepukana na Corona.
Hivi takwimu hujui kama zinaleta hofu pia Mana watu watazidi kuogopa na kushindwa kuendesha shughuli za maendeleo ya familia na taifa,Mungu ibariki Tanzania
Huwezi kujua umuhimu wa takwimu wewe muuza mihogo.Takwimu hazituponyi hahahaha...
We unadhani wao watoa matamko wanaona takwimu zinaumuhimu?
majitu mapumbavu kweri, wao wakijua takwimu inawasaidia niniTakwimu hazituponyi hahahaha...
Mungu Angekuwa hawasikii wenye dhambi basi hata wakiungama dhambi angesema sisikii!!!! Angesema sikusikii unachoongea mwenye dhambi wewe.Hujui neno tatizo la kukariri maandiko badala ya kuelewa hilo
View attachment 1454672
Tumsifu Raisi wetu na Baraza lake la Mawaziri kwa mkakati huu mzuri
mlipo mnatamani kusema kakitu ila mtasema nini[emoji16][emoji16][emoji16],watu hawajafa kama mlivyotamani,mnatamani hata mnyeshe watu sumu.ila dah.Hiyo ndio siku ya kujua kipimo cha ujinga wa mtu mweusi.
Bila takwimu usingejua kuwa Simba anaongoza ligi Tanzania wala Liverpool Uingereza.We unadhani wao watoa matamko wanaona takwimu zinaumuhimu?
Wacha niendelee kupata joto la kupika mihogo nayo ni kinga
We anza kutoa takwimu
......ndani ya pango la wanyang'anyi. Duh!Siku ya jumapili itakuwa siku ya send off party ya kuiaga corona Tanzania na kuifungisha virago forever iende kwa mumewe shetani
Makanisa mengi yatafanya hiyo ibada ya send off .Tunaomba kila mmoja ahudhurie ibada siku hiyo
Upatapo tangazo hili mtaarifa na mwingine tufike kwa wingi makanisani JUMAPILI HII ya tarehe 24 May 2020