Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

Kujua takwimu sio ndio kuishinda Corona bali ni kifuata taratibu na maelekezo ya serikali ili kuepukana na Corona.

Hivi takwimu hujui kama zinaleta hofu pia Mana watu watazidi kuogopa na kushindwa kuendesha shughuli za maendeleo ya familia na taifa,Mungu ibariki Tanzania
Tangu lini takwimu zikaleta hofu, mbona kila wakati polisi wanatoa takwimu za ajali barabarani na hamlalamiki kuwa zinaleta hofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ya jumapili itakuwa siku ya send off party ya kuiaga corona Tanzania na kuifungisha virago forever iende kwa mumewe shetani

Makanisa mengi yatafanya hiyo ibada ya send off .Tunaomba kila mmoja ahudhurie ibada siku hiyo

Upatapo tangazo hili mtaarifa na mwingine tufike kwa wingi makanisani JUMAPILI HII ya tarehe 24 May 2020
......ndani ya pango la wanyang'anyi. Duh!
 
Back
Top Bottom