Syolosu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2019
- 868
- 1,016
We ndezi. kumbe sawa tu na waliofyumu kutoa takwimu inakusaidia nini sasa hiyoBila takwimu usingejua kuwa Simba anaongoza ligi Tanzania wala Liverpool Uingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndezi. kumbe sawa tu na waliofyumu kutoa takwimu inakusaidia nini sasa hiyoBila takwimu usingejua kuwa Simba anaongoza ligi Tanzania wala Liverpool Uingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kila mmoja aende kwa RC akapewe kispika cha sumu ya panya ili kelele zisikike vyema!Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amewatangazia wakazi wa Dar Es Salaam na waliolikimbia jiji warudi ili siku ya Jumapili ijayo wajitokeze mitaani kupigana kelele kwa uwezo wao wote, hapa tukumbuke sheria ndogo za jiji zinakataza upigaji wa kelele, kwa wito wa Mkuu wa Mkoa inamaana sheria hiyo itasimamishwa kwa muda. Ili mtu aweze kupiga kelele itamlazimu kuivua barakoa yake, je, siku hiyo ndiyo rasmi ya kuivua barakoa jijini Dar es Salaam?
MUNGU KATENDA MUUJIZA.
Tutaona na kuyasikia mengi mwaka huu, tumeishinda corona wakati hatujui takwimu ziko vipi
Kwa hiyo unataka serikali iwe inazurura mabarabarani kama wehu na kusema tukapime? Huo ni wehu. Wewe ni daktari au muuguzi unatafuta posho za kuzurura kupima?Hatujaweka lockdown yes? But also hatupimi. So utajuaje kama hatuna cases za corona kama hatupimi?
Sent using Jamii Forums mobile app
kelele zinaruhusiwa tu kwenye sherehe mfano kwenye mechi kelele zipo sanaaa,ngoma za midundiko mitaani zipo sanaa ,matarumbeta ya harusi kelele sana tu tunashangilia simba na yanga mitaani wakifunga sembuse kusherehekea send off ya coronahapa tukumbuke sheria ndogo za jiji zinakataza upigaji wa kelele, kwa wito wa Mkuu wa Mkoa inamaana sheria hiyo itasimamishwa kwa muda. Ili mtu aweze kupiga kelele
Jambo likishakubaliwa na Askofu Shoo hakuna wa kupinga kwa upande wa dhehebu hilo!.......Ndio maana kuna wawili siku hizi hawaachi kupiga kelele kila siku, wanaisema sana Chadema; kumbe mmeshawalipa, halafu mbaya zaidi wanawatumia mpaka waumini wao kwenye mambo yao binafsi.Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikanunue mavuvuzela kwa ajili yangu na familia tutayapuliza siku hiyo mtaani kama kuna ambaye hataki kelele ahame mtaa siku hiyoTena kila mmoja aende kwa RC akapewe kispika cha sumu ya panya ili kelele zisikike vyema!
Ukizingatia weledi na uwezo wa kula vyakula stahiki vya kuimarisha afya kwa wengi wetu ulivyo duni sijui...Herd immunity. Hii project anayoifanya bwana mzee si nzuri ihivyo. 60% waugue ili 40% wapone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana akasema changanya na za kwako. Hii statement wabongo sijui kama wameisikiliza.Ukizingatia weledi na uwezo wa kula vyakula stahiki vya kuimarisha afya kwa wengi wetu ulivyo duni sijui..
Tukutane kwa gwajima!Siku ya jumapili itakuwa siku ya send off party ya kuiaga corona Tanzania na kuifungisha virago forever iende kwa mumewe shetani
Makanisa mengi yatafanya hiyo ibada ya send off .Tunaomba kila mmoja ahudhurie ibada siku hiyo
Upatapo tangazo hili mtaarifa na mwingine tufike kwa wingi makanisani JUMAPILI HII ya tarehe 24 May 2020
Acha uongo wengi tuko dar nikiwemo mimi hiyo hali mbaya ilko wilaya gani eneo gani mtaa gani?Mtu mweusi akili yake anaijua mwenyewe,,,endeleeni kushabikia ujinga tu mkidhani corona imeisha,,,na mnaoshabikia wengi mnaishi mikoani. Ila dar,arusha hali ni mbaya sana kunatisha.
Huo ni mfano utakaokuwezesha wewe muuza mihogo wa Vikindu kujua why data are importantWe ndezi. kumbe sawa tu na waliofyumu kutoa takwimu inakusaidia nini sasa hiyo