The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Hongera mkuu , Safi Sana ,nilipata zero form 4 lakini sasa nimeajili wasomi 6 wenye degree zao. shikamooooo maisha
we kazana kumsoma mgunduzi wa ziwa victoria , wakat watu awana habari nae na wanamiliki boat kama mia za uvuvi.