Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

nilipata zero form 4 lakini sasa nimeajili wasomi 6 wenye degree zao. shikamooooo maisha
we kazana kumsoma mgunduzi wa ziwa victoria , wakat watu awana habari nae na wanamiliki boat kama mia za uvuvi.
Hongera mkuu , Safi Sana ,
 
Watu bana shule waliyosoma hao watoto shule yote hamna aliepata division 0 na division 4 ziko nane tu sasa iyo 0 inatoka wap

Sent using i Phone x
 
Hivi hili ni jambo la kuandika kwa kejeri,umewahi kuzaa kweli wewe?
 
Watu bana shule waliyosoma hao watoto shule yote hamna aliepata division 0 na division 4 ziko nane tu sasa iyo 0 inatoka wap

Sent using i Phone x[/Q
Paula amepata four
 
7fd5e189233e9dbcd90048278b57db68.jpg
 
That girl is just a child and all of you bashing her for her results should be ashamed of yourselves.

Za kwenu zipoje, za watoto wenu je? Shameless indeed.

And by the way since when are exams results the key indicator of how your life will go?

Shame shame shame.
 
Back
Top Bottom