thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,270
- 9,116
Mkuu uko sawa ,je ?wangekua wana ccm wanamkimbia Magufuli kujiunga na chadema ,ungeumia kama unavyoumia kwa sasa?mk
mkuu tunaoumia ni sisi na sio hawa wanasiasa uchwara. mabilioni ya pesa yanapotea kurudia uchaguzi kumchagua tena mtu yuleyule aliyekuwa mbunge. hizo pesa ni bora zingepelekwa kusaidia wanafunzi wa elimu ya juu kwenye mikopo.
Naona wanajichosha wilaya mikoa viko vingapi na wafia ccm waliompigania magufuli wao wanaachwa solemba dhidi ya walioingia beiWao wanasema CCM ni chama kikubwa. Wasipochaguliwa tena kama wabunge watapata uteuzi wa ukuu wa wilaya au cheo kingine chochote ndani ya CCM. Kwa hiyo mkono utaendelea kwenda mdomoni bila ya shida yoyote. Si hiyo ndio sababu kuu ya kutafuta uongozi kwa wanasiasa wetu siku hizi?
Magufuli anachezea pesa za hazina badalayakuziweka kwenye huduma za wananchiMkuu uko sawa ,je ?wangekua wana ccm wanamkimbia Magufuli kujiunga na chadema ,ungeumia kama unavyoumia kwa sasa?
Ukweli ndo huo. wavumilie hadi mkataba wao na umma uishe 2020.Mkuu uko sawa ,je ?wangekua wana ccm wanamkimbia Magufuli kujiunga na chadema ,ungeumia kama unavyoumia kwa sasa?
Mkuu unajua na wenyewe hawana roho za chuma,kuna maudhi wanakutana nayo uvumilivu unawashinda,assume man umechaguliwa na wananchi uwawakilishe,uwakilishi mzuri ni kushirikiana na serikali,unaambiwa na viongozi wako ndani ya chama usitoe ushirikiano kwa serikali ,utafikiaje matarajio ya wananchi waliokuchagua?.lingine mfano,unakatwa kila mwezi laki tano kuchangia chama halafu huoni maendeleo ndani ya chama zaidi ya viongozi hao kulipana mishahara minono,tena kundi la wateule wachache.Ukweli ndo huo. wavumilie hadi mkataba wao na umma uishe 2020.
Ona ulivyo hewaMajitu mapumbavu utayajua tuu, uwezo wao wa reasoning no mgogoro mtupu. Hiyo laki 5 ni fine au makubaliano? Halafu hivi kwako kwa taasisi ya kitaifa kama Chadema 300 milioni unaona ni kuwa sana kama unavyo aminishwa?
We nenda tuu kaendelee na kazi zako dukani kwa wahindi tuu, maana ndio akili yako inafit
Jibu kilicho ulizwa kilaza weweAcheni ujinga wenu,chama kilianza kupata ruzuku ya milioni 300 baada ya uchaguzi mkuu uliopita? au ni baada ya uchaguzi mkuu uliopita? ,wakati mteja wenu anatumia pesa zake za mfukoni chama kilikuwa kinapata ruzuku ya kiasi hicho? Je CCM wamemrudishia pesa zake alizotumia kwenye uchaguzi ndiomaana kajiunga na CCM? Je hamuoni kuwa ni ujinga na upumbavu kuhurumia fedha ulizotumia kwa kitu ambacho ni kwa ajili ya faida yako mwenyewe na kushindwa kuhurumia mabilioni ya fedha za wananchi ambazo zingitumika kufanya kazi za maendeleo ya nchi badala yake zitatumika kwenye marudio ya uchaguzi?.
ujinga mtupu.
Anaonekana smart ila ndoivo tenaView attachment 897185
Aha, nilidhani ni wakuchaguliwa kumbe ni wale wasiochaguliwa/Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240
Hata yeye atahama tu ni swala la muda tu!Kwa mwendo huu Chadema atabaki Salary slip na mwenyekiti wake wa kudumu.
Ama kweli Tz hii namna upinzani kuna wasaka tonge tuu na wababaishaji
Mzee 74 , uzee umekuzidi au badilisha hiyo miwani lensi imeisha nguvu, umechanganya sana maneno.Duh siku zimisha.Wajitahid wawahi deadline?