Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Mbunge mpinga unyanyasaji, alihama Chadema kupinga unyanyasaji, akajiunga CCM, sasa ndio amegeuka mnyanyasaji!.
P
Pascal kaka yangu shida hapa si kuhama vyama,Mara nyingi wanahama kwa ajili ya matumbo yao tu.Mara nyingi vyeo vinaitaji watu wenye hekima Sana,nikupe mfano mdogo tu pia maofsi ya umma utaona wengi walivyopofushwa na vyeo.Tunaitaji mfumo Bora wa kusaidia Hawa watumishi wa umma wajue wapo hapo kwa ajili yetu wananchi ili tusonge mbele.Nampongeza mama kwa kuchukua hatua haraka ili liwe funzo kwa wengine.
 
This is an interesting story to know.
Please tell!.
P
 
Wao wanakanyaga kwako!? Km hawakanyagi kwako, kwanini unajipa umuhimu Mkubwa kiasi hicho kwenye maisha Ya watu!? Tafuta hela acha wivu!
 
Wao wanakanyaga kwako!? Km hawakanyagi kwako, kwanini unajipa umuhimu Mkubwa kiasi hicho kwenye maisha Ya watu!? Tafuta hela acha wivu!
Niwe na wivu na mtu ambaye ametoka familia fukara fukarika, ambaye wazaza wake walikuwa wanaishi nyumba ya udongo wakaja kujengewa baada ya kuolewa, aje kwangu akafanye nn mpuuzi kama huyo, kigari chenyewe wanacho kimoja ndo anajishebeduaga nacho,
Shida ya huyo mwanamke background yake huwa inamsumbua, vtu vidogo vidogo huwa vinamtoa roho kutokana na alikotoka.
mbona na wewe umewashwa sana au na we mbulu/muiraq nini?
 
Mzee umepiga vibaya tena utosini😂😂😂
 
Hii inaitwa: Teleza uanguke tuone nyeti zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…