Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Lakini pia kuna post yako hapo juu ilioponda sana chadema na Mbowe baada ya hiyu Gekul kuhama na kutoa tuhuma kwa chama
Mimi ni msumeno nakata kote kote, viongozi wa Chadema wanachowafanya wabunge wao wa viti maalum, is not right!, na wabunge wanawake wa Chadema, jinsi wanavyo jirahisi is not right!.
P
 
Mwenye ako na hiyo clip ya press conference, atupie jamvini,

Kutongozwa na kuliwa tunda kimasihara unahama chama? Kwani walibakwa? Mbona hawakuripoti Polisi Mwamba apigwe mvua 30,



Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
KARMA...
 
Anataka kuhamisha goli kwa kuhusisha ushenzi wa Gekul na CDM
 
Kwani Gekul mwenyewe anasemaje, nasikia amekiri kosa
Mimi ni msumeno nakata kote kote, viongozi wa Chadema wanachowafanya wabunge wao wa viti maalum, is not right!, na wabunge wanawake wa Chadema, jinsi wanavyo jirahisi is not right!.
P
 
Mara zote kila jambo hujitenga na kukaa panapostahili.Huyo ni wenu.Rejea Makonda,Sabaya and the likes!
Kuna tetesi kwamba, kundi fulani ndani ya CCM limemtaka M/K wao Taifa kumtosa/kujitenga na Bashite au wao watimkie kusikojulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…