Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

Yule mwanaume alikimbia kama Hussein bolt
Mama chupa alitaka kumuingizia chupa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Soon Mbowe atafanya ziara Babati kwenda kuomba uchi wa huyu dada ili amrudishe kundini.
Acha upumbavu. Kuwa na adamu sio kila neno kwa kila Mtu. Mh Mbowe aweza kuwa na umri sawa na babako.
 
Shina likishaharibika, matawi hayataweza kuurekebisha.
 
Mimi ni msumeno nakata kote kote, viongozi wa Chadema wanachowafanya wabunge wao wa viti maalum, is not right!, na wabunge wanawake wa Chadema, jinsi wanavyo jirahisi is not right!.
P
Pascal you are matured enough kuwa mkweli Ndugu yangu. Wale Wabunge "19" unamfahamu fika walivyopatikana kupitia Ndugai chini ya Uongozi wa Late Jiwe. Acha kuchafua CDM bila sababu.

Chadema ni Chama cha Siasa kinachoongozwa na Binadamu na sio Malaika. Kuna mapungufu yanayoweza kujitokeza na hakuna atakaekupinga kwa hilo. Lkn kwa hili la COVID 19 BIG NO.
 
Mwenye ako na hiyo clip ya press conference, atupie jamvini,

Kutongozwa na kuliwa tunda kimasihara unahama chama? Kwani walibakwa? Mbona hawakuripoti Polisi Mwamba apigwe mvua 30,



Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Mwamba apigwe mvua zake za kutosha sio?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kama walikuwa na case genuine kwanini walihangaika na ile ya mchongo ya ugaidi??
 
mkuu kule kaskazini kuna neno maarufu sana ''KUCHAFUKWA''

MKUU NAONA UMECHAFUKWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…