Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Kuna vitu sisi media tunavijua public haijui!, Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani? . Jee wajua baada ya Chadema kuwatimua, jee wajua ring leaders wa wabunge hao, waliitwa Nairobi na kigogo wa Chedema, namjua kigogo huyo, hoteli waliofikiwa kwa kugharimiwa, na walichoitiwa, hadi number ya chumba, ila kwa vile mimi sio mbea!, sitaji!!. Kama unadhani walijiteua, wakajipeleka, endelea kuamini hivyo.Pascal you are matured enough kuwa mkweli Ndugu yangu. Wale Wabunge "19" unamfahamu fika walivyopatikana kupitia Ndugai chini ya Uongozi wa Late Jiwe. Acha kuchafua CDM bila sababu.
Chadema ni Chama cha Siasa kinachoongozwa na Binadamu na sio Malaika. Kuna mapungufu yanayoweza kujitokeza na hakuna atakaekupinga kwa hilo. Lkn kwa hili la COVID 19 BIG NO.
Vipi kuhusu kubakwa huko CDM?Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo usiku huu na kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).
_
Gekul ametaja sababu mbili za kufanya maamuzi hayo. Ya kwanza ni chama kuwabebesha wabunge mzigo shughuli za ujenzi wa chama. Anasema kwenye chaguzi ndogo zote zilizofanyika Manyara alitoa fedha zake mfukoni kugharamia, na chama kilileta laki tano tu, licha ya kwamba kinapokea ruzuku ya zaidi ya milioni 300 kwa mwezi. Pili amesema ni kupigwa majungu na viongozi wenzie wa Chadema.!
View attachment 897234
View attachment 897236
View attachment 897240
Shujaa alivuruga uchaguz wa 2020. Ndio legasi yake2020 hilo jimbo linaenda ccm.
Vp nawe ulishaombwa na kuliwa????Soon Mbowe atafanya ziara Babati kwenda kuomba uchi wa huyu dada ili amrudishe kundini.
Yes but only if anayenyanyaswa atalalamika!, akinyanyaswa asipolalamika, hakuna jinai!. Hata kubakwa ni jinai, mwanamkwe akibakwa, asiposhitaki, atahesabiwa ameridhia!. Kuna wake kibao wanabakwa na waume zao, hakuna jinai yoyote!.Unyanyasaji ni jinai mkuu. Jinai inawezaje kuwa private? Piga mkeo leo uiambie koti ni private
Baada ya CCM kumhitimisha fani ya umafia praktikally? Sawa.Chadema waje kuchukua mtu wao.
Careful. This is very subjective and personal. Halafu hii hukuizungumzia wakati Gekul akihama CDM. Ingekuwa vyema zaidi kama ungetoa angalizo hilo wakati ule ili kuwianisha hoja yako. Sio baada ya Rais huyu wa CCM kumtengua.Mimi ni msumeno nakata kote kote, viongozi wa Chadema wanachowafanya wabunge wao wa viti maalum, is not right!, na wabunge wanawake wa Chadema, jinsi wanavyo jirahisi is not right!.
P
Kishindo cha uwizi wa kura kwa msaada wa policccmCCM Tutashinda kwa kishindo
Ukiingia ccm unakuwa shetani squareHapa ndo mbwa kala mbwa mwingine
Used till to that extendHawamtaki tena huyo..
Yanayofanyika sirini yanafunuliwa hadharani,hiyo ni kanuni ya asiliMaisha ya ndoa ni private life, yanalindwa na the right to privacy, please tusilete person issues za maisha binafsi ya watu humu!.
P
Yanayofanyika sirini yanafunuliwa hadharani,hiyo ni kanuni ya asiliMaisha ya ndoa ni private life, yanalindwa na the right to privacy, please tusilete person issues za maisha binafsi ya watu humu!.
P
Mama chupa hakwepi,mwenzake ally dangote kaondoka kaacha taharuki mjimzima