PBZ wananizingua; Kuna benki yoyote inayotoa mkopo 'online' (katika ESS) ndani ya siku mbili niwakimbie hawa?!!!

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Inakaribia wiki ya tatu Sasa nahangaika na hawa tu bila mafanikio. Mara huyo fsp (financial service provider) ali'reject' na kunitaka niongeze miezi (wakati mfumo umekubali). Nafanya hivyo anareject tena ananitaka nipunguze miezi. Mnyonge Hana kususa, narekebisha na kufanya alichosema hii Sasa siku ya nne hakuna majibu yoyote........wamenikera sana.

Wadau, ni taasisi ipi inatoa fasta mkopo nikimbilie huko?!!!!!
 
Wapigie simu ueleze dharura yako
PBZ kwa sasa wanatoa mikopo mingi kutokana na riba yao kuwa ndogo kuliko taasis yeyote
 
Inakaribia wiki ya tatu Sasa nahangaika na hawa tu bila mafanikio. Mara huyo fsp (financial service provider) ali'reject' na kunitaka niongeze miezi (wakati mfumo umekubali). Nafanya hivyo anareject tena ananitaka nipunguze miezi. Mnyonge Hana kususa, narekebisha na kufanya alichosema hii Sasa siku ya nne hakuna majibu yoyote........wamenikera sana.

Wadau, ni taasisi ipi inatoa fasta mkopo nikimbilie huko?!!!!!
Huko "MAMA YENU SAMIA" ameshindwa kurekebisha mambo?

Pumbavu kabisa wewe. Humu huwa unapiga kelele kumbe ni mwalimu hohehahe wa Shule ya Msingi Nanjilinji...😛😛

Unatafuta mkopo wakati wenzako wanakula za Waarabu wa DPP na wale wa Oman?

Very stupid teacher Dr wa Manesi...

Kikokotoo kinakusubiri pia. Wee endelea kuimba mamaa, mamaa, mamaaa tu ukuokota makombo wakati wenzako wanagawana udiwani na ubunge huko...🤔🤔🤔
 
Kubwa ni furaha na amani. Nikiwa na hivyo tu inatosha dogo
 
Nenda Azania riba 15.5% na Insurance 0.4
Unapata ndani ya saa 24
CRDB wanaumiza sana kwenye Insurance hasa ukitaka ku top up mkopo
Labda kama unachukua mkopo fresh, ila kwa sasa Azania wako Vizuri
 
Back
Top Bottom