Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Vipi processing fee ipo?Nenda Azania riba 15.5% na Insurance 0.4
Unapata ndani ya saa 24
CRDB wanaumiza sana kwenye Insurance hasa ukitaka ku top up mkopo
Labda kama unachukua mkopo fresh, ila kwa sasa Azania wako Vizuri