PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

very true
 
Naomba wahusika wawaangalie watu kama wewe. Nadhani wewe ni mmojawapo wa magaidi yanayojificha ndani ya jAMIIfORUMS YAKICHAFUA JINA LA JAMIforums. Naomba JamiiForums itoe jina lakop nje ili ushughulikiwe kwa kutmia vibaya mtandao.
Na mimi naomba wahusika wawaangalie hawa Polisi-CCM.Nadhani Polisi-CCM ni moja ya taasisi haramu zinazofichwa na serikali ili kulichafua jina la Tanzania.Naomba wananchi wawaibue hawa Polisi-CCM na kuwashughulikia kwa kutumia taasisi hii vibaya.
Your browser is not able to display this video.
 
We jamaa yaan maelezo yako yote sizani kama ni sahihi
Ipo ivi yule jamaa lzm atakuwa ni terrorist, miaka ya nyuma kituo cha polis staki shari kilivamiwa na majamaa yalikuwa yana piga polisi tu na kukwapua silaha yali target ma polisi tu je pia walizulumiwa madini ?

Sababu yangu yengine ya kuamin yule jamaa ni terrorist tazama jinsi alivyo kuwa anajua kutumia ile silaha, mzee AK47 ni silaha ya kivita ile sio pisto ..yule jamaa lzm ali pitia mafunzo ya utayari wa mapigano ya silaha, ata ww hapo uki setiwa ile silaha ukapewa utumie sizan kama utaweza kui manage vizuri bila changamoto yoyote
Pia tazama yule jamaa alivyo kuwa hodar ktk kujilinda alikuwa ana jilinda vizuri, alikuwa hakurupuki kurupuki ..tazama alivyo wapa mtihan askar wetu wazalendo ...chief yule hakuwa muuza madini itoshe kuamin yule ni gaidi hakuna haja ya kusikikiza leo tena wala kesho tena ..lile jambo ni sensitive mnoo maisha ya watu 4 wale ni bora sana
 

Na ukibishana nao sana , atakuitia wenzie wakushambulie, Hongera Hamza
 
Sio kosa kujua kutumia Bastola kwa watu wa madini ni kitu cha kawaida kama wanavyosema alikua ni mfanyabiashara wa dhahabu hawezi kukosa silaha ndogo , pia hao kila siku wanacheza na mabomu mgodini kulipua madini

harufurahii Askari kuuliwa bila hatia tunasikitika dhulma aliyotendewa Hamza
 
Zipo taarifa kuwa Hamza alidhulumiwa madini na askari. Lakini inadaiwa askari waliouawa sio wale waliomdhulumu. Kama ni hivyo, basi dhuluma ya askari wachache wasio waadilifu imegharimu maisha ya askari wasio na hatia. Mungu awapumzishe kwa amani.![emoji848][emoji2827]
 
Huko ni kwa sababu silaha/bunduki ununuliwa kiurahisi hivyo raia wengi sana wanazimiliki... kwa uonevu wa maaskari wetu huku kama raia tungekuwa na hizo silaha hali ingekuwa mbaya zaidi ya hiyo marekani
 
Askari wengi ni watu poa Sana,
Sema tu Kuna wachache flan vichwa panzi wakishakula mjani wanawewuka!

Bado kijana mdogo Sana R.I.P
 
Gaidi angeua wale raia wote kwenye daladala, magaidi wakifanya tukio wanajitahidi liwe la ukubwa wa kusikika dunia nzima, gaidi anakuwa na bastola ndogo!!!!!.. magaidi lazima wawe na mabomu akilipua hamna msalia mtume.
 
Mkatoliki, mseminari mpiga kinanda. Pole Emma. Mungu akupumzishe vizuri. Uliamka uko salama hujui nini kitatokea kazini kwako. Pole mdogo wangu.
 
Ujumbe wako Muhimu niliouona hapa na ambao umeusisitiza ( japo Kimafumbo ) ni kwamba Muuaji Hamza Mohammed hakuwa Gaidi kama tunavyodanganywa kwa Kulazimishwa, bali alichokifanya ni Kulipiza tu Kisasi kwa Mapolisi kutokana na Kumdhulumu Kwao Dhahabu yake.

Huku Kwingineko sijui huyu Police alikuwa ni Mtu mwema Kijamii ( Uraiani ) ni Mbwembwe tu kwani sijawahi kuona Mtu yoyote hasifiwi pale akifa hata kama alikuwa ni Mchawi au Muiba Kuku na Bata maarufu Mitaani.

Kilichonishangaza zaidi ni kwanini Police hao kama kweli huko Chuoni Kwao waliiva Kimedani walishindwa Kumshtukia mapema kwa Jicho la Saikolojia huyu Muuaji hadi akawawahi na kwanini Option yao ( Police ) ilikuwa ni Kukimbia ili Kujificha na siyo Kupambana vilivyo na Adui Hamza Mohammed?

Police Tanzania watumie Tukio hili katika Kujitathmini na Kubadilika upesi kwani hata kama tutamlaumu Muuaji Hamza Mohammed ila nao ( PT ) wana Mapungufu makubwa ya Kiuweledi ambayo ni kwa bahati sana huwa yanafichwa katika Kivuli cha Kuwakamata Wapinzani na Kutishatisha tu Watu hovyo.
 
Mimi. AK47 sio pisto kijana wala sio baruti za mlipuko AK47 ni kitu kingine mzee unless useme hufahamu chochote
 
Gaidi angeua wale raia wote kwenye daladala, magaidi wakifanya tukio wanajitahidi liwe la ukubwa wa kusikika dunia nzima, gaidi anakuwa na bastola ndogo!!!!!.. magaidi lazima wawe na mabomu akilipua hamna msalia mtume.
Sasa ndio ujiulize kama sio gair alijuaje matumiz ya silaha kubwa kama AK47 .... Na rudia tena hata Kenya chokochoko zilianza kamaniv magaid walikuwa wana piga polisi ktk vituo vya polisi kisha sasa waka hamia kuwa ua raia
 
masoko ya madini yapo

Mtu anadhulumiwaje?
 
Gaidi angeua wale raia wote kwenye daladala, magaidi wakifanya tukio wanajitahidi liwe la ukubwa wa kusikika dunia nzima, gaidi anakuwa na bastola ndogo!!!!!.. magaidi lazima wawe na mabomu akilipua hamna msalia mtume.
SIO lazma.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Bwana mdogo kapoteza uhaki angali mdogo, kama ilivyo kwa Hamza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…