PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

Mkatoliki, mseminari mpiga kinanda. Pole Emma. Mungu akupumzishe vizuri. Uliamka uko salama hujui nini kitatokea kazini kwako. Pole mdogo wangu.
Hili ni funzo kuwa hawa wajinga wote wapo at risk ni swala la muda tu nani atachafukwa roho na kuwashusha kama ubua
 
Ni askari walioajiriwa kwa mtindo wa baba kanituma
 
😃😃😃😃😃
Eti: Askari alikua mtu mwema asiye na shida na mtu!
 
Huyo aliekimbilia barabarani na silaha yake baada ya kujeruhiwa ina maana alishindwa hata kujaribu kutumia silaha yake?au risasi ilimtia wenge(najaribu kuwa tuu)any way mungu awapumzishe pahali pema
 
Mimi. AK47 sio pisto kijana wala sio baruti za mlipuko AK47 ni kitu kingine mzee unless useme hufahamu chochote
AK47 ni bunduki kubwa mkuu tena sana ila mtu wa kawaida tu anaweza kuitumia wala haina ugumu wowote, South Sudan wanatumia wachunga ng'ombe. Huyo Hamza amesomea Misri sio ajabu alipata mafunzo ya kutumia silaha huko ambayo kawaida nchi za wenzetu.

Kama ile bunduki aliyotumia ingekuwa AK74 au RPG hapo ningeweza kushtuka lakini sio AK47 ambayo hata mimi nisiye askari lakini naijua vizuri kufungua, kufunga, kusafisha mpaka kuitumia.
 
Akiingia barabarani kama Hamza mtamlaumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna polisi wazur wa kudeal nao kama polis wa Tz. mi ni washikaj zangu sana.
 
Yeye ndiye wa kwanza kuumizwa hadi aue hao askari? Ingekuwa ni hivyo basi kila anayeumizwa angekuwa anaua na kungekuwa na mauaji kila siku. Hajafanya vizuri kuua hao askari wasiokuwa na hatia yeyote.
Every action is equal to opposite reaction police tulieni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni chai aliyotuletea. Akili zisizo na cheti cha sekondari zinatambua hili. Askari amejeruhiwa anakimbia na silaha kujificha kisha anafuatwa kuuwawa na raia mmoja mwenye kitambi ambaye kabla ya hapo alimvua askari silaha na kwenda kuitumia? Hata kama askari ni untrained kiasi gani ila hayuko wa hivi
 
Hizi ndio zile tulikuwa tunazisikia tu zikitajwa tajwa kwa jina "Hisia mseto"
 
Wabongo si kwamba hamuelewi ni dharau tu.
Wewe unaambiwa alipigwa risasi ndipo alikimbia kujihami(kumbuka alikimbia akiwa kashapigwa risasi), ndipo aliishiwa nguvu.
Sasa hapo angejihami na nini wakati amejeruhiwa?
Acha matumizi mabaya ya ubongo mkuu hukupewa ili ufikilie vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…