PCB siyo tahasusi ya mchezo

Basi ngoja nikuache Mimi sio level yako yaan unamaliza form 4 Mimi nilishamaliza miaka 20+ kabla yako kwa hio usijifananishe na Mimi
Nyie ndo WA material ya njano kumbe mlikua mnacheat Yale maswali hamsolve😂😂😂 tulikuaga tunajua mlikua mafundi
 
Yaan unaelewa alafu unajifanya hauelewi unaona unavyofunguka mwenyewe sasa

Hio inaitwa cheating hakuna mwanafunzi amemaliza PCM na haijui hio ndio maana nakwambia tukikugawia zile hesabu zetu za kukomaa na calculator hautoboi bila calculator
 
Yaan unaelewa alafu unajifanya hauelewi unaona unavyofunguka mwenyewe sasa

Hio inaitwa cheating hakuna mwanafunzi amemaliza PCM na haijui hio ndio maana nakwambia tukikugawia zile hesabu zetu za kukomaa na calculator hautoboi bila calculator
Mzee hesabu gani izo?
 
Kwahiyo siku hizi PCB div Ii point 11 mtu anahesabu kafeli ahsante mkuu nilikuwa silijui hili.
 
Eti eeh!!
 
Wewe unazijua hesabu gani trigonometry, differential au calculus au zipi unazotumia calculator ?
Calculator ni for statistics,numerical, proba ni part moja Tu, linear programming unatumia but unapata simultaneously equation ambayo unaeza solved normal, matrix unaeza solve normal pia ila kusave mda ndo unatumia Caluu sizani kama kuna nilio Acha apo labda calculating device
 
Umeacha ndio endelea kukumbuka ni ipi
 
Acheni bangi aisee! PCB ni ngumu mno aisee ni ngumu mno narudia! Pure maths haiwez ingia kwa biology hata kidogo.
Jamaa wanasema Biology hamna ni rahisi kuliko Pure mathematics 😂 tena kuna mbwiga hapo juu anazungumzia mitochondria 😆 eti ndio alichokiona rahisi na dissection rahisi pia eti unamezameza michoro tu unatoboa
 
Biology ya advance ni kama bahari yaan haina mwisho vitu ni vingi mno na paper huwa ni ngumu!
Pure maths maswali ni yaleyale wanabadilisha namba tu!
Ukikariri mayombia 1&2 B au A hiyo hapo
 
Mtu wa PCB anakanyaga mitihani 11.
1.Physics¹
2.physics²
3.physics³
4.chemistry¹
5.chemistry²
6.chemistry³
7.biology¹
8.biology²
9.biology³
10.bam
11.gs
Acheni masihara wazee
 
Kuna dogo alikua na 1.7 O level juzi matokeo ya advance ana 3 ya ngapi sijui PCB. Nimeshangaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…