MImi nimesoma Advanced Biology na nimefundisha miaka 6
Halafu unachokisema sio kweli, hakuna practical easy Kama za Biology
Dissection kupasua chura, mende au panya ni marks 3 tu, mchoro una marks 2 (jumla mwalimu anakupa 5)
Mchoro unakuwa umekariri, na maswali yote yanayokuja ni ya kuelewa na kukariri tu.
Halafu mwalimu wako hawezi kukupa marks 0 kati ya 5 kwenye NECTA labda mchoro uzingue.
Food test ndio Ile Ile ya Level
Classification ndio Ile ile
Enzymology hakuna jipya
Pia Advanced Biology yote hakuna topic ngumu na ndio maana wanafunzi wengi huwa hawasomi tuition ya Biology
Maswali ni yale yale kila siku
Mechanism of doubles fertilization
Mechanism of protein synthesis, DNA replication
Structure of Cochlea
Mitochondria is a cell within a cell
Biology ni ngumu kupata A kwa kuwa Kuna tricks zake za kujibu na walimu wengi hawajui
Ukijaribu kupitia candidate response analysis angalau 5 kwa umakini na ukawafundisha wanafunzi vizuri, Bio ni easy mno kufaulu kuanzia kwenda mbele