GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CDM wakishiriki watashinda pakubwa sana kwa kitendo cha kurudisha sura ya bunge lilelile lililopita kwa kiasi kikubwa sana ambalo wananchi walipoteza imani nalo kwa kiasi cha
 
CDM wakishiriki watashinda pakubwa sana kwa kitendo cha kurudisha sura ya bunge lilelile lililopita kwa kiasi kikubwa sana ambalo wananchi walipoteza imani nalo kwa kiasi cha
Shida ni kuwa anaeamua mshindi wa uchaguzi ni ccm hapo ndo changamoto
 
Wajumbe siyo watu, mbunge anayetetea jimbo lake amegawa pesa kama zote na zilipokelewa. Mwisho wa siku mwamba ni Joel Arthur Nanauka anasimama kama mgombea.
 
Hongera wote kwa Ushindi.
Hongera Rose Rwakatare utaendeleza jina la Mama kwenye Active Politico.
 
Wajumbe siyo watu, mbunge anayetetea jimbo lake amegawa pesa kama zote na zilipokelewa. Mwisho wa siku mwamba ni Joel Arthur Nanauka anasimama kama mgombea.
Joel Nanauka hata 2020 angehitaji angepata Ana akili Sana kawasaidia Sana wana Mtwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…