GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sijui nani alimuambia Kikeke adanganye wachaga eti yeye ni Mchaga wa Mabogini.
Kuna sehemu ambazo kama ww sio mzawa huwezi kupenya hata uhonge vipi
 
Nilipoona Mtama umeandika Jemedari Saidi, nikajua kabisa umeamua kuandika UONGO

Mods saidieni kuboresha threads, watu wanaamua kuondoa credit ya jukwaa
 
Utapeli mtupu.

Siha ni Mollel

Mtama ni Nape
 
Wajumbe sio watu wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…