Pele na Magoli yake 1,000

Acha chuki
 
Sisi tupo America team Brazil tukideal na Pele mzee.
Italy mbali sn
We si umezungumzia kuwa watu wa zamani walikuwa hawana mbinu ni mwendo wa 4-2-4 tu, 😂 sina mood ya kuandika saana mkuu, angalia mfumo huo uliotumika hapo, mifumo unayoiona leo, imeanza tumika zamani, mwalimu anaweza boresha mbinu kadri inavyompendeza.
 
Total Football ( Dutch Philosophy ) haikuwa ya kila mtu toka ianzishwe na Ajax 1970's Hadi kuwa ajenda ya Utaifa kwa Waholanzi.
Pitia / Google Hungary (The Golden Team)
Hungary's national football team, also known as the "Golden Team", played a style of football similar to Total Football in the 1950s. This laid the foundations for the Total Football style of play that was later developed by Dutch coach Rinus Michels.

Explanation
  • The Golden Team's style of play transformed football from a physical battle into a more complex, dynamic, and tactically innovative sport.

  • The team's success became a source of national pride during a period of oppression by the communist regime.

  • The team's success was achieved under coach Gusztáv Sebes.

  • The team's success included a long undefeated run, including the Match of the Century.

  • The team also introduced new, scientific coaching and tactical innovations.
Total Football is a style of play that emphasizes all-around skill, versatility, and creativity. It prioritizes fluidity, positional interchange, and collective responsibility. Ingawa hapa tunatoka kwenye point ya Urahisi na ugumu wa strikers then and now ila nataka kukuonyesha kwamba sio kweli enzi zile ilikuwa ni butua kimbiza; Ukizingatia Brazil na aina yao ya "Joga bonito" is a Portuguese phrase that means "the beautiful game". It's a nickname for soccer that emphasizes style, beauty, and individual skill.

If anything sasa hivi mpira wa kidunia umepotea nchi zote na academy zote wanafundishwa sababu ya soko la ulaya kwahio zile variaties za aina ya mchezo wa sehemu fulani zimefutika ni kama wote wanacheza mule mule...
Kwahio hii unataka kusema ni recent discovery....
Pele alichezewa rafu na mastriker wote wa kipindi kile walichezewa rafu zaidi kuliko sasa that was the nature of the beast tofauti na sasa na nimekwambia kutokana na vitu kama hivyo na kuchezewa rafu kwa mastar hadi ikapelekea Red Card kuwa introduced
 
Gautten Potten wewe ni Muha wa wapi pale kigoma?

Nina jamaa namfaham ni mbishi kwa kila jambo kama wewe...unaweza hata mwambia binadamu ana mikono miwili,yeye akatafuta namna ya kubisha tu .
 
Wwnakimbilia ubaguzi Kama hoja.
Wasahau waliompa tuzo Ni hao hao weupe ...Je walimpa tuzo kibaguzi dhidi ya weupe wenzao ?
Sijui kama umesoma nilichoandika huko juu ukaelewa? Mzungu kumkubali Mwafrika kwamba ni bora sana ilikuwa shida sana enzi zile kuliko leo, sasa kama ilifikia hatua hao Wazungu wakakiri Pele alikuwa shida, basi ujue jamaa alikuwa hatari sana kuliko kawaida.
 
1969 Pele alikuwa na magoli 1000?
 
PELE hakuwa mwafrika,Pele alikuwa Mbrazil.Wakati huo rais wa FIFA alikuwa mbrazil mwenzie Joao Havellange.Wabrazil walibebana wenyewe.
 
PELE hakuwa mwafrika,Pele alikuwa Mbrazil.Wakati huo rais wa FIFA alikuwa mbrazil mwenzie Joao Havellange.Wabrazil walibebana wenyewe.
Awe Mwafrika au laaa, ukweli ni kwamba ngozi nyeusi kukubalika mbele za Wazungu miaka ile na kurudi nyuma ilikuwa vigumu sana. Ikifika hatua ukakubalika basi jua umeupiga mwingi sana. Ndo Pele huyo sasa.

Hata la a alibebwa, naona ni sawa kwa black man kubebwa. Wao ngozi nyeupe si walishabebana kwa vingi tuu? Shida ni nini black naye akibebwa juu ya white man?
 
Najiuliza kwanini sio Jimmy Hogan wa Austria ya 1930 au Magyars 1950 kutambulika Kama waasisi wa kile kinachofananishwa na Total football na waamue kuwalebo Waholanzi ?
 
PELE hakuwa mwafrika,Pele alikuwa Mbrazil.Wakati huo rais wa FIFA alikuwa mbrazil mwenzie Joao Havellange.Wabrazil walibebana wenyewe.
Nikisema Mimi naitwa Muha nikihoji naitwa Mbaguzi.
Wamatumbi wenzangu wameamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…