Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
- Thread starter
- #81
Hapa tutakesha, haya umeshinda mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tutakesha, haya umeshinda mkuu.
Sisi tupo America team Brazil tukideal na Pele mzee.World cup 70 italy alikuwa na mfumo gani!?
Mifumo imeanza toka kipindi hiko mzee.
Acha chukiNajaribu kuwaza:
Haya Magoli 1000 ambayo nimekua nikiyasikia toka midomoni mwa Kaka zetu, wajomba pengine wazee na vikongwe kuhusu Pele na Magoli yake 1000 ni Chai kongwe kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa soka ?
Huku ndiko yalipotoka Magoli msiyoyajua kukamilisha Idadi ya Goli Mbombo Goli Buku.
Goal Machine kahenya mno kufika alipofika Mana Kuna rundo la Sheria, mifumo ya kisayansi na manedeleo mengi ktk soka kuzidi Zama za Gwiji.
Swali: Goli Buku Gwiji kazitolea wapi ?
View attachment 3227230
We si umezungumzia kuwa watu wa zamani walikuwa hawana mbinu ni mwendo wa 4-2-4 tu, 😂 sina mood ya kuandika saana mkuu, angalia mfumo huo uliotumika hapo, mifumo unayoiona leo, imeanza tumika zamani, mwalimu anaweza boresha mbinu kadri inavyompendeza.Sisi tupo America team Brazil tukideal na Pele mzee.
Italy mbali sn
Ulitaka asemaje na nyie mmegoma kutambua goli zake.
Kati ya Romario na FIFA nani ana simamia na kuratibu mpira wa mguu duniani ? Mbona una hoja za kochoko Sana.Romario kapinga vikali wewe Ni nani uone utoto.
Pitia / Google Hungary (The Golden Team)Total Football ( Dutch Philosophy ) haikuwa ya kila mtu toka ianzishwe na Ajax 1970's Hadi kuwa ajenda ya Utaifa kwa Waholanzi.
Kwahio hii unataka kusema ni recent discovery....Attack Attack Attack hii inazungumzia mtu anayejihusisaha na upande mmoja wa mchezo Yani jukumu lake ni kushambuoia tu.
Attack Counter Attack
Hii inazungumzia mtu anayejihusisaha na vipindi viwli vya mchezo Yan mkiwa nao na msipokua nao ( Shambulia Kaba Shambulia ).
Najua hapa ulipoteana chief.
Pele alichezewa rafu na mastriker wote wa kipindi kile walichezewa rafu zaidi kuliko sasa that was the nature of the beast tofauti na sasa na nimekwambia kutokana na vitu kama hivyo na kuchezewa rafu kwa mastar hadi ikapelekea Red Card kuwa introducedUnavyoandika ni Kama kwenye soka Ni Pele ndio amechezewa rafu peke yake.
Mpaka Sasa rafu zipo kadi zipo na Kuna watu hawapewi na wanawaumiza watu VAR inashuhudia mfano Romero wa Spurs WC alimpiga kiwiko lloris kipa wa France na Hakuna kadi.
Chief rafu zipo na zitaendelea kuwepo.
Uliwahi kumshuhudia JJ Okocha mkuu ?.Ingawa bado siamini kama kuna mchezaji wa mpira aliwahi kutokea mwenye kipaji cha kutoa burudani zaidi ya Ronaldinho, shida ndio alidumu kwa muda mfupi sana
Okocha nimemwona alikua na uundi mwingi sana lakini bado hajamfikia Gaucho. Yule mbrazil alikua anakupa burudani na matokeo kwa pamojaUliwahi kumshuhudia JJ Okocha mkuu ?.
Sijui kama umesoma nilichoandika huko juu ukaelewa? Mzungu kumkubali Mwafrika kwamba ni bora sana ilikuwa shida sana enzi zile kuliko leo, sasa kama ilifikia hatua hao Wazungu wakakiri Pele alikuwa shida, basi ujue jamaa alikuwa hatari sana kuliko kawaida.Wwnakimbilia ubaguzi Kama hoja.
Wasahau waliompa tuzo Ni hao hao weupe ...Je walimpa tuzo kibaguzi dhidi ya weupe wenzao ?
1969 Pele alikuwa na magoli 1000?Swali jepesi, rais wa fifa alipotoa diploma ya kumtambua pele kafunga goli la 1000 mwaka 1969, alikuwa punguani ama, hizo namba hakuziona ama? Na pele 69 bado wa moto, na mwaka 1970 akacheza kombe lake la dunia la 4, na kuchukua kwa mara ya 3, akaja akastaafu mwaka 74 kama sikosei, kisha akaenda marekani akakipiga mpaka 77 hivi.
PELE hakuwa mwafrika,Pele alikuwa Mbrazil.Wakati huo rais wa FIFA alikuwa mbrazil mwenzie Joao Havellange.Wabrazil walibebana wenyewe.Sijui kama umesoma nilichoandika huko juu ukaelewa? Mzungu kumkubali Mwafrika kwamba ni bora sana ilikuwa shida sana enzi zile kuliko leo, sasa kama ilifikia hatua hao Wazungu wakakiri Pele alikuwa shida, basi ujue jamaa alikuwa hatari sana kuliko kawaida.
Yes, mwaka 69 pele alifunga goli lake la 1000, akiwa na miaka 291969 Pele alikuwa na magoli 1000?
Awe Mwafrika au laaa, ukweli ni kwamba ngozi nyeusi kukubalika mbele za Wazungu miaka ile na kurudi nyuma ilikuwa vigumu sana. Ikifika hatua ukakubalika basi jua umeupiga mwingi sana. Ndo Pele huyo sasa.PELE hakuwa mwafrika,Pele alikuwa Mbrazil.Wakati huo rais wa FIFA alikuwa mbrazil mwenzie Joao Havellange.Wabrazil walibebana wenyewe.
Najiuliza kwanini sio Jimmy Hogan wa Austria ya 1930 au Magyars 1950 kutambulika Kama waasisi wa kile kinachofananishwa na Total football na waamue kuwalebo Waholanzi ?itia / Google Hungary (The Golden Team)
Hungary's national football team, also known as the "Golden Team", played a style of football similar to Total Football in the 1950s. This laid the foundations for the Total Football style of play that was later developed by Dutch coach Rinus Michels
Nikisema Mimi naitwa Muha nikihoji naitwa Mbaguzi.PELE hakuwa mwafrika,Pele alikuwa Mbrazil.Wakati huo rais wa FIFA alikuwa mbrazil mwenzie Joao Havellange.Wabrazil walibebana wenyewe.
Uje na hoja sio kejeli Kama unazoleta.Gautten Potten wewe ni Muha wa wapi pale kigoma?
Nina jamaa namfaham ni mbishi kwa kila jambo kama wewe...unaweza hata mwambia binadamu ana mikono miwili,yeye akatafuta namna ya kubisha tu .
Hoja ilikuwa ni Majukumu kuwa mengi kwa mshambuliaji wa Sasa kuliko zama zile.Kwahio hii unataka kusema ni recent discovery...
FIFA sasa ndio wanauharibu mpira duniani.Kati ya Romario na FIFA nani ana simamia na kuratibu mpira wa mguu duniani ? Mbona una hoja za kochoko Sana.