OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
🤔Ila kuna watu wana dharau asee.
Tozo ya kuona 👍🤣🤣Serikali ianzishe TOZO za:-
(a) Pumzi. Kila aliye hai alipe tozo hii.
(b) Usingizi. Kila alaye alipe tozo hii
(c) Ngono. Kila aliyebalehe alipe tozo hii
(d) Kuona. Kila mwenye macho alipe tozo hii.
(e) Kusikia. Kila mwenye masikio yanayofanya kazi alipe tozo hii.
(f) Shibe. Kila anayekula alipe tozo hii.
Stakayeshindwa kulipa tozo hizi ahamie Burundi.
Hata Basil Mramba aliwahi kuongea ujinga , sijui Huwa wanakuaje! Wapuuzi sana sanaIla kuna watu wana dharau asee.
Usichanganye kodi na TOZO. Maendeleo huletwa na kodi siyo tozo.hakuna cha bure katika ulkmwengu huu, lazima tulipe tozo kwa maendeleo yetu.
unadhani maendeleo yataletwa bila tozo?!
Ipo siku atatamani kuifuta hiyo kauli lakini itakua amechelewa.View attachment 2327988
Tunaye Ndugu Waziri humu Mwigulu Nchemba. Tutumie fursa ya uwepo wake kumkumbusha Tozo zingine ambazo amezisahau. Ni kama akiziota usiku tu kesho anakuja nazo.
Mimi naanza na tozo ya ugali. Ugali utoe kodi. Mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za nafaka watu wengi sana watakula ugali. Piga idadi ya tonge,mara idadi ya tonge kwa siku kwa wiki kwa mwezi. Tonge ikiwekwa kishimo iwe na tozo kubwa kidogo. Hapo serikali itapata bilioni 900.
Tozo nyingine ya haraka haraka ni Simba na Yanga. Kila tukifanya utani wa jadi kuwe na tozo.
Na itamgharimu Mpaka anaingia kaburini.Ipo siku atatamani kuifuta hiyo kauli lakini itakua amechelewa.
Hii inaitwa 'kunywa maji ya bendera'hakuna cha bure katika ulkmwengu huu, lazima tulipe tozo kwa maendeleo yetu.
unadhani maendeleo yataletwa bila tozo?! dhubutu!!!
bora unakunywa maji ya bendera unabaki timamu,sio unakuwa chiziHii inaitwa 'kunywa maji ya bendera'
Asali imemkolea huyuHivi kumbe ukilamba sana asali akili inakua kama inavurugika na kuwaona wengine kama takataka eh! [emoji848]
Before tozo maendeleo yalikua yanaletwa na nini?hakuna cha bure katika ulkmwengu huu, lazima tulipe tozo kwa maendeleo yetu.
unadhani maendeleo yataletwa bila tozo?! dhubutu!!! hata hao wanao pinga tozo wanalifahamu hilo, ila nia yao ni kuona Seriakali inashindwa kuleta maendeleo ya wananchi.