Pendekeza tozo nyingine Serikali ya Samia iichukue

View attachment 2327988

Humu ndani tunaye Ndugu Waziri Mwigulu Nchemba, tutumie fursa ya uwepo wake kumkumbusha tozo zingine ambazo amezisahau. Ni kama akiziota usiku tu kesho anakuja nazo.

Mimi naanza na tozo ya ugali, ugali utoe kodi. Mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za nafaka watu wengi sana watakula ugali. Piga idadi ya tonge mara idadi ya tonge kwa siku, kwa wiki na kwa mwezi. Tonge likiwekwa kishimo liwe na tozo kubwa kidogo. Hapo serikali itapata bilioni 900. Tozo nyingine ya haraka haraka ni Simba na Yanga, kila tukifanya utani wa jadi kuwe na tozo.
Ongeza

1. Tozo ya wanawake wenye makalio makubwa aka misambwada.

2. Tozo ya waliojichubua.

3. Tozo ya wanawake wenye sura nzuri.

4. Tozo ya wanawake weupe.

5. Tozo ya black beauty ya kung'aaa.

6. Tozo kwa kila mwenye mbwa.

N.k.
 
hakuna cha bure katika ulkmwengu huu, lazima tulipe tozo kwa maendeleo yetu.
unadhani maendeleo yataletwa bila tozo?! thubutu!!! hata hao wanao pinga tozo wanalifahamu hilo, ila nia yao ni kuona Serikali inashindwa kuleta maendeleo ya wananchi.
Nawe kichwa kibovu tu,hela za madini,bandari,utalii,vat,nk zinapelekwa wapi?
 
View attachment 2327988

Humu ndani tunaye Ndugu Waziri Mwigulu Nchemba, tutumie fursa ya uwepo wake kumkumbusha tozo zingine ambazo amezisahau. Ni kama akiziota usiku tu kesho anakuja nazo.

Mimi naanza na tozo ya ugali, ugali utoe kodi. Mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za nafaka watu wengi sana watakula ugali. Piga idadi ya tonge mara idadi ya tonge kwa siku, kwa wiki na kwa mwezi. Tonge likiwekwa kishimo liwe na tozo kubwa kidogo. Hapo serikali itapata bilioni 900. Tozo nyingine ya haraka haraka ni Simba na Yanga, kila tukifanya utani wa jadi kuwe na tozo.

Serikali ianzishe TOZO za:-
(a) Pumzi. Kila aliye hai alipe tozo hii.
(b) Usingizi. Kila alaye alipe tozo hii
(c) Ngono. Kila aliyebalehe alipe tozo hii
(d) Kuona. Kila mwenye macho alipe tozo hii.
(e) Kusikia. Kila mwenye masikio yanayofanya kazi alipe tozo hii.
(f) Shibe. Kila anayekula alipe tozo hii.

Stakayeshindwa kulipa tozo hizi ahamie Burundi.
Good
 
Hapa huenda mheshimiwa waziri alighafilika kutoa kauli hii, kauli ambayo imeleta mkanganyiko mkubwa kwa wananchi. Kama binadamu tunakosea, tunapogundua makosa yetu siyo vibaya kuomba radhi kwa namna nzuri na kuonyesha tulikosea.
 
ilimradi maendeleo tanayaona hakuna shida kabisaaa......tozo iendelee tena nashauri ziangaliwe njia nyingine za kuchangia maendeleo yetu, badala ya kuchangia harusi na masharehee mengine sasa tunaweza kuchangia 1200 maendeleo ya barabara zetu, hospitali, maji n.k

Mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe.
tusitegemee kujengewa nchi yetu na mataifa mengine.

wala tusifikirie eti jinsi awamu ya 1 hadi ya 6 walivyo ongoza lazima ifanane na awamu hii ya 5, kila kiongozi anamaono yake ya kutuletea maendeleo.

Tutaendelea kulipa tozo bila shida yoyote.
wanao pinga tozo ni wahuni wachache wenye matatizo ya afya ya akili.
 
KILA abiria akipanda bodaboda akatwe tozo tutapata pesa nyingi Sana maana tunapoteza pesa nyingi Sana kupitia bodaboda.
 
View attachment 2327988

Humu ndani tunaye Ndugu Waziri Mwigulu Nchemba, tutumie fursa ya uwepo wake kumkumbusha tozo zingine ambazo amezisahau. Ni kama akiziota usiku tu kesho anakuja nazo.

Mimi naanza na tozo ya ugali, ugali utoe kodi. Mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za nafaka watu wengi sana watakula ugali. Piga idadi ya tonge mara idadi ya tonge kwa siku, kwa wiki na kwa mwezi. Tonge likiwekwa kishimo liwe na tozo kubwa kidogo. Hapo serikali itapata bilioni 900. Tozo nyingine ya haraka haraka ni Simba na Yanga, kila tukifanya utani wa jadi kuwe na tozo.
Badala aweke tozo kwenye miamala ya bank; kwa nini asipitishe Posho kwenye mishahara?
 
View attachment 2327988

Humu ndani tunaye Ndugu Waziri Mwigulu Nchemba, tutumie fursa ya uwepo wake kumkumbusha tozo zingine ambazo amezisahau. Ni kama akiziota usiku tu kesho anakuja nazo.

Mimi naanza na tozo ya ugali, ugali utoe kodi. Mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za nafaka watu wengi sana watakula ugali. Piga idadi ya tonge mara idadi ya tonge kwa siku, kwa wiki na kwa mwezi. Tonge likiwekwa kishimo liwe na tozo kubwa kidogo. Hapo serikali itapata bilioni 900. Tozo nyingine ya haraka haraka ni Simba na Yanga, kila tukifanya utani wa jadi kuwe na tozo.
Tozo ya Kila Pumzi
Hii italipa sana, italifanyA taifa letu tukilala tukiamka tuwe Uchumi wa Kwanza, pls Madelu hii muhim sana
 
Serikali ianzishe TOZO za:-
(a) Pumzi. Kila aliye hai alipe tozo hii.
(b) Usingizi. Kila alaye alipe tozo hii
(c) Ngono. Kila aliyebalehe alipe tozo hii
(d) Kuona. Kila mwenye macho alipe tozo hii.
(e) Kusikia. Kila mwenye masikio yanayofanya kazi alipe tozo hii.
(f) Shibe. Kila anayekula alipe tozo hii.

Stakayeshindwa kulipa tozo hizi ahamie Burundi.
Kila mwenye miguu alipe tozo hii
Ukifa kabla ya kuzikwa ulipe tozo ya kifo
 
hakuna cha bure katika ulkmwengu huu, lazima tulipe tozo kwa maendeleo yetu.
unadhani maendeleo yataletwa bila tozo?! thubutu!!! hata hao wanao pinga tozo wanalifahamu hilo, ila nia yao ni kuona Serikali inashindwa kuleta maendeleo ya wananchi.
Mbona hewa unavuta bure kunguni ww. Kukosa ubunifu ndo kufanye mnyonye watu kwa visingizio eti mnajenga nchi? Nyie ndo wale wanaojiuza kwa kujua hakuna vya bure wakiamin kila kitu mtu agharamike.
 
  • Akina Kinjekitile n.k wangefufuka leo na kuona maisha tunayoishi ili hali walituachia rasilimali kibao, wangeanzisha vita dhidi ya utawala.
  • Tunanakili mifumo ya mataifa yasiyo na rasimali kama Uingereza, Hispania, n.k
Wewe ndugu bado hujaelewa. Hao Kinjakitile walipata muda wao mrefu tu wa uongozi. Nini walichokifanya??? Mtanzania ni masikini tokea enzi za uhuru 1961 hadi leo. Licha ya kudumu kwenye uongozi na siasa zaidi ya karne 2, Wali ingia madarakani wakati mtanzania ni masikini na waliondoka madarakani kumuacha mtanzania bado masikini. Ila wao kina Kinja kitile maisha yao yaliboreka na kushamiri katika vipindi vyao vya uongozi. Hivi kuna kiongozi yeyote mstaafu au aliyoko madarakani maskini??? Jibu ni hakuna. Lakini mbona Mtanzania ni maskini??? Nini shida hapo??
 
Back
Top Bottom