Pendekezo: Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa Fedha

Aisee

Kweli hii nchi ina changamoto
 
Hao vijana kwa hao wachache tu tuliowajaribu kutuongoza sasa hadi sasa, wengi wao wametuangusha na bora turudi kwa wazee tu.......
hiki kibabu mnataka kifie ofisini? ni kweli yuko vizuri ila kazeeka, wapo vijana wanaweza fanyakazi nzuri
 
katiba ya sasa huijui vzuri unataka mpya sie watu ni shida sana
 
wewe jamaa itakua ulikua unafurahia sana task force.
 
Kama ni CCM usitarajie kitu cha tofauti, utakua disappointed sana. Hata kama ni ndugu yako. Take it from me
 
Ni afadhali mama asikie kilio chetu atuondolee hili dude Mwigulu halifai Kwangu mimi Bashe Hussein angetosha pale
 
Hatuhitaji sukuma gang tena
 
Sheria inagoma.
Sheria gani unayoizungumzia??
Hivi utakaa unaangalia sheria tu mambo yanaharibika??
Mtu kama ana sifa hata kama yupo CUF anavalishwa gwanda za kijani anapewa Ukatibu Mkuu wa Chama na atawanyoosha hasa
Achana na sheria angalia nini unahitaji
 
Tatizo Katiba na Tume ya Uchaguzi

Kuwa na Tume inayojaza ccm bungeni mnategemea nini? Mtabadili sana mawqziri lakini ukweli ni kwamba bunge la sasa ni dhaifu na halina sula ya uwakilishi.
 
Kumteua Professor Assad kuwa waziri ni kuvunja katiba mkuu.

Muwe mnajisomea somea katiba hata kidogo
Walishaivunja tangu mwanzo. Soma katiba hiyo uone alivyofanyiwa figisu. Figisu ziendelee ateuliwe.
 
Naona unampigia debe baba yako mdogo
 
Professor Assad anakidhi hio nafasi Dr.kikwete naomba uangalie hili
Tatizo ni Mfumo wa Chama kile. Prof akishavaa tu T-Shirt yao ubongo wake unabadilika ili kuendana na Chama kile.
Turejee kwenye Katiba yetu ya sasa kisha ndipo tutakapoona umuhimu wa Katiba Mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…