Pendekezo: Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa Fedha

Pendekezo: Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa Fedha

Sheria inagoma.
Nafahamu kwamba Reappointment haipo kikatiba, na protocol hazikubali mtu kuwa na cheo cha juu akamaliza muda wake then akateuliwa nafasi ya chini (Mfano mtu akishika Uwaziri Mkuu, then baada ya muda wake, utawala ujao akaja kuteuliwa Waziri).. . . Ila Kwani nchi yetu tunafuata sheria au katiba mkuu?
 
CAG hawezi kuwa reappointed kurudi kwenye office ya umma akishastaafu.

Sikutegemea hili kutoka kwako.
Asante mkuu, nafahamu protocol haziruhusu mtu kuteuliwa nafasi ya juu then baada ya kumaliza muda akaja kuteuliwa nafasi ya chini, pia katiba hairuhusu. . . . . Ila Nchi yetu kwani tunafuata katiba au sheria mkuu???

Navojua nchi yetu haina katiba wala sheria, rais akiamka na mawazo yake basi ni mwendo wa kufuata. Hata kesho asubuhi akiamka na kusema wanaume wote nataka wapimwe kaswende basi wanaume ndio kujiandaa na vipimo, hakuna wa kupinga.
 
Asante mkuu, nafahamu protocol haziruhusu mtu kuteuliwa nafasi ya juu then baada ya kumaliza muda akaja kuteuliwa nafasi ya chini, pia katiba hairuhusu. . . . . Ila Nchi yetu kwani tunafuata katiba au sheria mkuu???

Navojua nchi yetu haina katiba wala sheria, rais akiamka na mawazo yake basi ni mwendo wa kufuata. Hata kesho asubuhi akiamka na kusema wanaume wote nataka wapimwe kaswende basi ndio kujiandaa na vipimo.
Kwahiyo na wananchi mnataka watawala waache kufuata katiba ?
 
Tatizo ni Mfumo wa Chama kile. Prof akishavaa tu T-Shirt yao ubongo wake unabadilika ili kuendana na Chama kile.
Turejee kwenye Katiba yetu ya sasa kisha ndipo tutakapoona umuhimu wa Katiba Mpya.
Wananchi tunatakiwa tupiganie katiba mpya kwa mustakabali wa kesho yetu bora ya taifa.
 
Hiki kindumbwendubwe cha mpesa kimeonyesha uwezo mdogo wa waziri wetu wa fedha. Kiukweli huyu kakayangu kapwaya kwenye viatu kwa Dr Mpango.

Nilitamani Mpango arudi lakini kwa nafasi aliyonayo itakuwa kumshusha hadhi. Mie napendekeza Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa fedha, huyu ni "Man of absolute integrity" eti kusema alikuwa ana kusanya kodi kinguvu jamani tuache masihara hawa wabongo bila kuwakomalia kodi hupati, situnajuana.

Qatar usipolipa kodi wanakata kichwa ndio maana wanapiga hatua kubwa na hawana mafuta kama Saud Arabia.
Huyu Dr Mhede wa Task Force ya TRA ndiyo hafai kabisa. Uchumi ni akili siyo maguvu, uchumi ni ubunifu siyo maguvu
 
Nafahamu kwamba Reappointment haipo kikatiba, na protocol hazikubali mtu kuwa na cheo cha juu akamaliza muda wake then akateuliwa nafasi ya chini (Mfano mtu akishika Uwaziri Mkuu, then baada ya muda wake, utawala ujao akaja kuteuliwa Waziri).. . . Ila Kwani nchi yetu tunafuata sheria au katiba mkuu?
una mawazo ya kizamani sana
 
Huyu Dr Mhede wa Task Force ya TRA ndiyo hafai kabisa. Uchumi ni akili siyo maguvu, uchumi ni ubunifu siyo maguvu
hivi huyu aliyesoma phd mzumbe na aliyesoma phd japan nani anaweza kuwa na ubunifu? ukikwepa kodi bandarini tutakufuata na task force, Dr Mhede hakuwafuata machinga na mamalishe aliwafuata wenye nazo wanaohongahonga bandarini
 
Mhede ni mjingamjinga tu aliwatesa sana watu pale TRA , kwanza alikua anajifanya kulala ofisini eti aonekane anafanya kazi, ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu, huko alikotupwa mbona hajafanya lolote na ile Taasisi inakaribia kumshinda, He is a crap like other craps too
 
Nakuunga mkono kwa asilimia 800%, Rais Samia ampe Ubunge wa kuteuliwa Prof. Assad halafu amteue kuwa Waziri Wa Fedha au ampe ugavana BOT.

Muwe mnasoma katiba, baada ya kustaafu CAG haruhusiwi kushika madaraka yoyote yale ya kiserikali katika jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Hiki kindumbwendubwe cha mpesa kimeonyesha uwezo mdogo wa waziri wetu wa fedha. Kiukweli huyu kakayangu kapwaya kwenye viatu kwa Dr Mpango.

Nilitamani Mpango arudi lakini kwa nafasi aliyonayo itakuwa kumshusha hadhi. Mie napendekeza Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa fedha, huyu ni "Man of absolute integrity" eti kusema alikuwa ana kusanya kodi kinguvu jamani tuache masihara hawa wabongo bila kuwakomalia kodi hupati, situnajuana.

Qatar usipolipa kodi wanakata kichwa ndio maana wanapiga hatua kubwa na hawana mafuta kama Saud Arabia.
Mhede hii ni wewe, ila ujue wewe ni mwehu. Mhede alikuwa kinara wa TASK force kunyanganya watu hela kwa nguvu. watu wanajisahau mapema wanaanza kujipigia debe kwenye mitandao
 
Back
Top Bottom