Pendekezo: Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa Fedha

Kweli mwigulu hafai.
 
Dr Mhede anaweza kuwa mtu safi asiyependa rushwa ila hana busara za kuwa kiongozi kwenye ofisi ya umma. Atulie ajifunze uongozi, unyenyekevu na aache majivuno.
 
Professor Assad anakidhi hio nafasi Dr.kikwete naomba uangalie hili
Prof assad hajui chochote kuhusu uchumi. Yeye anajua tu kujumlisha, kutoa, kugawanya na kutoa historical data na kuapply za watu na yeye anajiita eti msomi
 
TRA aliiharibu ndio apewe wizara nzima????
 
Prof assad hajui chochote kuhusu uchumi. Yeye anajua tu kujumlisha, kutoa, kugawanya na kutoa historical data na kuapply za watu na yeye anajiita eti msomi


Unamfahamu vizuri Prof. Assad?

Unafahamu CV yake na uzoefu alonao?

Kwa taarifa yako jamaa yuko vizuri sana.

Kama kuna mengine useme lakini kuhusu akili jamaa ni Mzamivu na Mbobezi haswa .
 
mhede yupo vizuri sana, ana changamoto zake chache tu, hasa ya kutunza muda anaweza kukipigisha kazi mpaka ukereke lakini mambo yanakwenda... ila atulie kwanza bado dogo anamuda mrefu wa kufanya be kazi serikali
 
Huyu wa sasa awe waziri wa majivuno
 
Unamfahamu vizuri Prof. Assad?

Unafahamu CV yake na uzoefu alonao?

Kwa taarifa yako jamaa yuko vizuri sana.

Kama kuna mengine useme lakini kuhusu akili jamaa ni Mzamivu na Mbobezi haswa .
Ni kwamba hajasoma uchumi amesoma uhasibu ambao ni kujumlisha na kutoa tu.
 
Naunga mkono hoja juu ombi hili. Tizama na wizara ya Elim, tuletee mwingine.
 
Hivi kwanini ukivaa t-shirt ya CCM unakuwa na akili ya kishetani?
 
Asaad kuteuliwa ni kuvunja katiba....YES ni kweli
Kuzuia mikutano ya kisiasa ni kuvunja katiba pia
Kuwa mbunge bila chama ni kuvunja katiba pia
Tumekuwa tukivunja katiba day in day out.
KUNA MBAYA GANI KAMA TUKIENDELEA KUVUNJA KATIBA.
 
Ni kwamba hajasoma uchumi amesoma uhasibu ambao ni kujumlisha na kutoa tu.


Katika kusoma uhasibu na Uchumi huwa ni sehemu muhimu ya kozi inayosomwa.

Mtu alosoma uhasibu au fedha huwa anasoma na uchumi pia.
 
Aje mtu atakayeweza kutuambia kwa nini sisi tuende kuhemea Kampala?Ina maana Kampala ndiyo mjini?

Au kwa nini vitu vyovyote ukikosa Tanzania lazima uende Nairobi na unavipata?
Kwa nini Nairobi iwe ndio mjini kuliko Dar?

Aje mtu atwambie zaidi ya mazao ambayo tunauza kwa bei ya chini sana,waganda na wakenya wanakuja Tanzania kununua nini?

Wasomi wetu kwa nini haya mambo huwa hayawaumizi kichwa na kila siku ndio tunawaamini katika nafasi za uongozi?
 
Watanzania tumejikita kumlaumu mwigulu tu kutokana na chuki zetu basi lakini hatuwezi kuangalia mapungufu ya mfumo mzima kwa ujumla.

Kutokana na katiba tuliyonayo kama taasisi ya urais na ikilegea basi ndo yote haya yanatokea.Leo Dr.mpango anaonekana shujaa si kwakua ati alifanya vizuri zaidi lahasha Bali anaonekana shujaa kutokana na uimara wa taasisi ya urais ya wakati wake.

Hivyo basi mwigulu anabebeshwa lawama za bule hana makosa.
 
Dr. Kimei anafaa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…