Pendekezo: Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa Fedha

Unampigia debe anko,kwa iyo Kati ya Watanzania milioni 60 yeye ndo anafaa tu.
Nonsense
 
Unamfahamu vizuri Prof. Assad?

Unafahamu CV yake na uzoefu alonao?

Kwa taarifa yako jamaa yuko vizuri sana.

Kama kuna mengine useme lakini kuhusu akili jamaa ni Mzamivu na Mbobezi haswa .
Assad ni mwalimu wa book keeping hajui uchumi, na umri na haya makorona atafia ofisini tu kama wenzie
 
TRA kazi yake ilikuwa kukusanya kodi sio ku formulate polices, tukimpa wizara utaona uchumi utakavyo changamka, kule UDART tayari keshaingiza magari sabini na bado kuna drawing plan kibao mezani, sio huyu jamaa anaekimbizana na vimiamala vya "nitumie nayakutolea"
 
Katika kusoma uhasibu na Uchumi huwa ni sehemu muhimu ya kozi inayosomwa.

Mtu alosoma uhasibu au fedha huwa anasoma na uchumi pia.
Ansoma kiasi kidogo sana yaani managerial economics au some issues of micro economics. Evonomists wenyenye wanasoma mpaka game theoriea ambapo huo ndo uchumi. This world is controlled or governed on game basis
 
Toka enzi za wakina Dk Yona sipendi Hawa PHD'S holders kuwa na vyeo vya kisiasa ovyo kabisa...
 
Usitowe mfano wa qatar na Tanzania tatizo Tanzania hiyo kodi ambazo watu wanalipa hazionekani maslahi yake wanalipana wao maposho na safari za kila siku ukenda hospitali hakuna dawa mtu akiumwa atangaze kwenye mitandao TV apelekwe na wasamaria wema akatibiwe india au hata muhimbili anatakiwa alipe ili atibiwe bila ya hivyo ataachwa afe wakati wao na wanafamilia wao wanapelekwa matibabu nje kwa kodi zetu huko qatar unakosema wananchi wanatibiwa bure na wanalipwa vizuri na elimu bure na kama huna kazi unasaidiwa mafao kwa hivyo kulipa kodi c tatizo hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…