Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

Na kwa nini wahamishwe Wapalestina katika ardhi yao, badala ya hao Mayahudi wavamizi?
Ni kweli ilipaswa wayahudi ndio waondoke. Lakini si rahisi ukizingatia mabwana wakubwa wa ulimwengu ndio wanawa back up. Palestine hapa ni mnyonge akubali tu yaishe. Kama huwezi kumshinda achana naye/mkimbie.
 
Watajikusanya watarudi tu.
 
Mwisho wa ugomvi wao ni kizazi cha mmoja wapo kutoweka. Mimi naona wote wapewe muda wa kujipanga wakusanye silaha za kutosha na kila raia wa israel na palestina arudi kwenye nchi yake halafu mipaka yote ifungwe wabaki wawili tu umo ndani hakuna cha mtoto, mwanamke, mzee wala kilema zipigwe humo ndani mpaka kizazi kimoja kiishe kabisa.
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Wawarudishe Hao Wazungu Kwao UKRAINE/POLAND... Ndio mzozo utaisha. Yaani uje nyumbani kwangu unitoe nipeleke kwingine then nyumba yangu umpe mvamizi kisa story yake ya kuiba.
 
Kama vipi wapewe kamkoa kamoja hapa kwetu
Morogoro inawatosha wote Hao wapalestina na waisrael. Sema wote Wana Roho mbaya. Wakija kwako shida tupu ndio maana Hitler akawavuruga. Na kama wangepata nafasi ya kukaa Uganda, Hakuna rangi wangeacha kuona Hao waganda au hata sisi wajirani wangetuchokoza tu maana ndio tabia Yao tangu wako Khazar huko Ukraine.
 
m
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
misri ana ardhi kubwa sana kuanzia kule sinai hadi bahari ya shamu huku. wawape kipande kimoja.
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Kwa nini wasiwahamishe Israel warudi walipotoka waache kuwasumbua wapalestina?
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Kuna wabishi kule sio rahisi kukubali kuhamishwa, labda waandaliwe sehemu kama New York City ndo watashawishika.
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Hao wabaki huko huko asia kwao wasije tuletea upuuzi hapa
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Ni kurudia makosa yale yale.
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Mimi pendekezo langu wapalestina wapewe eneo la Sinai au waarabu wana manchi makubwa wawape uraia au vimkoa viwili waishi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Wazo lako siliungi Mkono mkuu.

Asante.
Ni kweli hata mimi siungi mkono, na ni jambo gumu sana kulitafutia suluhisho kwa sababu za imani za watu hao wawili.

Lakini mkuu la wamasai kuhamishiwa Tanga fresh?🤣🤣🤣
Unajua nao wana sehemu zao za ibada kule walipotolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…