Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

hiyo ngumu best way ni kuhakikisha wanaishi pamoja tu waoleane humo humo waanzishe daji za utani wairael watani wao wawe Palestine.

Hakuna namna mtu yyte atafanya eti mmoja wao aondoke hicho hakiwezekani ila kuishi pamoja inawezekana kama wakiamu.
Halafu kwenye misikiti ile waswali vipi, wapeane muda, kuwa muda huu swala ni za kiislamu, muda mwingine swala ni za kijudaism.
Na humo humo tena japo namba ndogo,naskia kuna wayahudi waislamu.
Afrika isitoe msimamo kila nchi, tuna tabu zetu Congo na kwingine.
Hao wenye Allah na Eloim wanaamini wao wana nafasi kuliko wengine kiroho, si waulize kama waendelee kuwepo pale na kupigana au wahame?
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Suluhisho ni two-state solution!! Zaidi ya hapo ni sawa na kusema Ukraine wahamishwe eti kisa tu Russia ameitaka ardhi yao!! Hatuwezi kufika popote.

Na ambacho hatukifahamu issue ya Israel wala sio palestina tu ila anakalia pia maeneo ya Syria yaani Golan Heights na baadhi ya maeneo ya Jordan so imperialism haitoishia kwa Palestina ila kesho atadai mpaka Sinai kutoka Misri.
 
Kimsingi Jews ndio walipaswa kuhama.
Lakini on the ground Jews ni mchokozi na mbabe hapa. Sasa wapalestine wakiendelea kukaza fuvu wasipokubali yaishe wakahama wao wataendelea kufa kila uchwao na Jews kupora ardhi zaidi.
Urithi wao umekuwa documented hadi kwenye biblia ikielezea tangu mwanzo wa dunia. Wewe ukienda ulaya basi huna chako hapa tz kisa uliwahi kuondoka? Kumbuka hata hawakuwahi kupewa Uraia huko, unawezaje kusema eti kwao Ulaya?
 
Kwa mentality hii basi mkoloni tusingeweza muondoa kisa tu katuzidi nguvu, teknolojia, na Jeshi!!

Hata hao wayahudi walipochinjwa na Hitler kama kuku mbona bado walianzisha vikundi vya kijeshi kupambana naye? Ilihali walijua kabisa watapigwa.

Huwezi surrender kwa adui kisa nguvu huwezi jua lini ataporomoka na ikawa advantage kwako. Rejea Vietnam vs USA au Cuba vs USA
 
Urithi wao umekuwa documented hadi kwenye biblia ikielezea tangu mwanzo wa dunia. Wewe ukienda ulaya basi huna chako hapa tz kisa uliwahi kuondoka? Kumbuka hata hawakuwahi kupewa Uraia huko, unawezaje kusema eti kwao Ulaya?
Biblia wapi imeeleza hilo? Ile mipaka ya kwenye Bible ni sawa na hii ya sasa? Mfano kwenye Bible Israel ina extend mpaka Mto Euphrates na Tigris ila leo hii hayo maeneo ni Iraq na Syria kabisa!!

Je na wao wataambiwa wapishe kisa Bible imesema?
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Tafuta pesa mkuu

Achana na hao waarabu

Au tutafute katiba mpya
 
Suluhisho ni two-state solution!! Zaidi ya hapo ni sawa na kusema Ukraine wahamishwe eti kisa tu Russia ameitaka ardhi yao!! Hatuwezi kufika popote.
Mfano waki ni mzuri lkn si sawa. Ukraine ni nchi kamili, tofauti na palestina.......ndiyo inataka kuundwa na mapingamizi ya israel....... hawana nchi kama Tanganyika.......bali ndiyo wanataka kujenga nchi

yote ni mema, lkn je Israel itagive up matamanio yake?
 
Palestina ndy mwenye ardhi tangu enzi ya Musa alivyoamua kuwaindoa waisrael na kuwapeleka nchi ya ahadi ambako hakuwafikisha kwenye hiyo nchi ya ahadi akafariki,
Aliwaondoa au ndio alikuwa anawapeleka hapo Palestine(Philistine), kutoka Egypt...

Tena kama sikosei waliambiwa wauwe watu wote watakaowakuta,mpaka watoto. Lakini jamaa wakapenda wanawake wa pale wakajitwalia wake na ku adopt watoto.

Kwa hiyo Israel halisi zamani ilikuwa wapi?

Before Prophet Muhammad(S.A.W) ile sehemu walikuwa wanakaa wakina nani?

"Mayahudi" kama wanavyoitwa na waislamu, waliwahi kuonana na Mtume(S.A.W) wakiwa zone/nchi ipi?

Haya mapigano zamani watu walikuwa wanaachwa zinapigwa mpaka watu wa kusanda wanasanda wanahama, tuko zama za ustaarabu mpya, hilo linakuwa gumu.
 
Walioleta mzozo ni Wazungu waliohamia Ulaya na kujiita hapo kwao
 
Kuna muda huwa wanatulia nini huw kinawatuliza?.
Wanakuwa wanajipanga but hakujawahi Tulia sema Huwa hufuatilii vizuri.

Kama saizi wakiuliwa hivi na kubomolewa Kila kitu watatulia wajijenge Upya then wanakuja kulipa Kisasi wakipata Nguvu Kwa hiyo ni hivyo tuu.
 
Hao wote ni watu wa Mungu na watu wengine wanatuona watupu.
Sasa hao Wayahudi si wamuulize Eloim/Jehova kama wahame au waendelee kupigana?
Na hao wapalestina na waarabu si wamuuliza Allah kama waendelee kupigana au wahame?

Kuna hawa pia wa hapo juu yetu Afrika kaskazini wanasema walikuwepo hapo wakati wote, wakati kuna ushahidi walivamia, pale kulikuwa na blacks.

Kusema hadharani mtu unaweza kushindwa lakini Wazungu na Waarabu ni watu wa hovyo sana katika mioyo yao. Acheni wafe tu.
 
Kuna utofauti ya hao unaowatolea mfano na uhalisia wa suala la Palestine na Israel.
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Huna Akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…