Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

Think well before sharing that nonsense ideas chief.. umeona tuu Magufuli bus stand? hujaona masoko, barabara and streets ambazo tunapitia umo kila siku? hii tunaita chuki binafsi
Tutaondoa tu mkuu
 
Hoja yako ni ipi ?
 
Support! Ingawa dunia karibu yote inafanya hivyo, you are correct, majina ya watu yaondolewe. Tena jina la muuaji!
Lakini Kuna kitu huko USA kinaitwa JF Kennedy Airport. Nao wajitafakari
Hopeless!! Wewe huna tofauti na kum ya mama yako!
 
Soma vizuri uzi uelewe
kuwa mkweli tu hapo unatafuta jina la kijazi , yule enginia cjui anaitwa mkekanule na maguful! Usa wana uwanja wa ndege unaitwa jf kenedy ambaye alikuwa rais wa nch hyo! Magu alikuwa mmbaya lkn chuki zetu kwake tuzielekeze kwa mabaya aliotenda! Hiki ni kitu very minor mkuu! Achana nacho
 
Acha nongwa maskini hamnaga akili hata tone. Hayo majina ni heshima tu hakuna aliekaza mishipa jina lake liandikwe pale watu wamependekeza ikawa ww huna hata jina kwenye ukoo wenu peleka nuksi mbali
 
Acha nongwa maskini hamnaga akili hata tone. Hayo majina ni heshima tu hakuna aliekaza mishipa jina lake liandikwe pale watu wamependekeza ikawa ww huna hata jina kwenye ukoo wenu peleka nuksi mbali
litaondolewa tu , subiri kidogo
 
Akili ya Ufipa hiyo na hoja isiyo na mantiki. Duani kote viongozi na watu maarufu hupewa majina ya maeneo au miradi, Hata huyo Mbezi Luis unayetaka Stand liitwe jina lake alikuwa tu ni mtu maarufu. Acha chuki sisizo na maana.
 
huyo Mbezi Luis aliteka na kuua wangapi ?
 
Akili ya Ufipa hiyo na hoja isiyo na mantiki. Duani kote viongozi na watu maarufu hupewa majina ya maeneo au miradi, Hata huyo Mbezi Luis unayetaka Stand liitwe jina lake alikuwa tu ni mtu maarufu. Acha chuki sisizo na maana.
Karibu majina ya mitaa au viwanja vya ndege huwa yanatolewa na watu waliopo kuwaenzi watu fulani kwa michango yao. Mfano uwanja wa Benjamin Mkapa ulipata jina baada yya Rais wa awamu ya pili kufariki mwaka jana. Ila ndiye aliyeazimia kuujenga.

Aidha hata uwanja wa JK Nyerere International Airport ulipata jina hilo miaka kadhaa baada ya Nyerere kufariki mwaka 1999. Yeye ni Baba wa Taifa ingawa wakati wa uhai wake alikataa sana kutukuzwa kwa namna hiyo

Kabla hawajakufa kwa nafasi zao walihakikisha wanayapa madaraja na mastendi majina yao. Mfugale flyover, Magufuli bus stand na Kijazi interchange??

Kuna kitu kuhusu utatu wa uovu (evil triangle) wa hawa tutakuja kuujua siku ikifika
 
Mbezi Luis sio jina la mtu
Wewe unapoishi ni jina la mtu au vitu .
 
Umezungukaaaaa lakini nimegundua ni jina la Magufuli limekukera kama linavyonikera
 
Dah! Hili sahihi kabisa! Kuna lile jengo pale dodoma hata nikiliona linatia kichefuchefu na sijui waliliwekea lile jina kwa protocal zipi maana sijaona impact yoyote ya mwenye lile jina zaidi alikua anaendeshwa tu kwa remote na hila yao ya kujimilikisha madaraka milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…