Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

Hoja yako inakuja .
Ila maoni yangu nataka nijue umeandika uzi huu ukiwa na hasira au umekosa cha kuleta kwenye jukwaa umeona majina kwani majina yamekuwaje.. je huyo magufuri angekuwa ndugu yako ungesema? Tafuta hela kijana hoja yako sio ya kuchenga majina yapo sehemu nyingi sio Tanzania tu. Ata hivyo mbona kuna mitaa iko na majina ya viongozi hiyo imekaaje.
Mfano. Mtaa wa Tibaijuka kwani tibaijuka anakaa pale.....📌
 
Endelea kuomba kuwasilisha
 
Corona haikumuua Magufuli.

Magufuli aliondolewa na mafisadi wa CCM ili waigawane nchi vizuri kabla hajapatikana Magufuli mwingine.
Hizo ni propaganda tu, kuamini kwake ushirikina badala ya science ndicho kilichomwondoa. Kama ni Corona, mtu au chochote kile kilichoshiriki kulikomboa taifa letu basi pongezi kwake.
 
Hizo ni propaganda tu, kuamini kwake ushirikina badala ya science ndicho kilichomwondoa. Kama ni Corona, mtu au chochote kile kilichoshiriki kulikomboa taifa letu basi pongezi kwake.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
JF Kennedy International Airport
Jomo Kenyatta ....
Oliver Tambo

.
.
.

..
 
Umemlenga Nani??
 
Nikiwaambia Chadema wote mmejaa udongo vichwani mbabisha!.
Ni nchi gani uliyoitembelea wewe unayejiita Erythrocyte
Ambako umekuta hakuna majina ya viongozi kwenye Nembo za mitaa na viwanja au majengo ya Umma!

George Washington international Airport.
Francois Mittrerald University
Jommo Kenyatta University


Kwa hiyo mifano michache tu...
Inakuacha uchi na ujinga wako wewe Erythrocyte na genge lenu la Hai!

Shame on all of you......

Magufuli Terminal itabaki hivyo na mtapandia hapo mabadi miaka yote kwenda kwenu.

Hutaki jinyonge!
 
Huyu mleta post,ni mtu mwenye shida ya afya ya akili,post zake zoote ni za kijinga na kibaradhuri, siku zoote yeye adui yake ni magufuli,toka ametumbuliwa ana hasira
 
Mfugale anastahiki,kasanifu zaidi ya madaraja 1000 nchi hii
Kwani hakulipwa mshahara? Hii nadharia siyo sahihi kabisa. Kwanza CEO wa TANROADS wala Hana muda wa kufanya hizo nitty gritty za ku design madaraja. Yeye aki design je head of departments na Maofisa walio chini yake wanafanya kazi gani? Acheni kutukuza ujinga
 
Acha kuongea Kama mpumbavu,ku-design madaraja zaidi ya 1000 hajafanya akiwa CEO Kama ulivyoandika,alianza chini,ni suala alilofanya kwa kipindi chote Cha ajira,kwa akili yako ndogo mtu Kama huyo hata akiwa CEO utamuacha kwenye ku- design!?..unapoumwa hoi bin taabani,ukaenda hospital na daktari akaokoa maisha yako, unadhani mshahara wake ni kipimo Cha Jambo alilokutendea!?
 
Eti kwani hakulipwa Mshahara? Kwani wanaolipwa mishahara hawapati Gratitude? Awards? Certificates? Recommendations?

Umeuliza swali la kijinga kama Mtu asiye na elimu kabisa

Mtu anapofanya jambo kubwa la kitaifa anastahiki sifa njema na hata kukumbukwa kwa namna yoyote hata kupitia kurithiwa majina yake

Ingeitwa Einstein Bridge msingelalamika si bure
 
huna hoja
 
Nahitimisha kwa kusema leo haikuwa siku nzuri kwako Erythrocyte
Naomba upunguze mihemko ya kipuuzi.

Watu humu wengi ni waelewa wa mambo kwa kiwango ambacho wewe hukidhanii.

Usi-underate watu kwenye social platforms [emoji92]

Tena ambako hata majina yao na pure identity zao huzijui.

Jaribu kuwaza nje ya boxi la mtaa wa ufipa!

Erythrocyte .....

....Next time leta mada zenye akili,watu wata kusapoti.
Ukileta za kijinga na kipumvavu kama hii,yatakupata kama yaliyokupata leo.


Kama haya yalivyompata bosi wako Lema jana huko Twitter.
[emoji116]


Rafiki Erythrocyte ...

Alamsikhi.
 
Pendekezo la Chadema.
People rally around a leader. Fikiria Spartacus,aliyeongoza mgomo was watumwa dhidi ya Rome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…