SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wahutu wanajiona wao ni bora kuliko wengine.Labda iwe siku ya kitaifa kwenu sukuma gang. Msidhani alikuwa na umuhimu huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahutu wanajiona wao ni bora kuliko wengine.Labda iwe siku ya kitaifa kwenu sukuma gang. Msidhani alikuwa na umuhimu huo.
Kaanzishieni kwenu BurundiKwani ikianzishwa nchi ya chato mtapenda??
Kuufanya tu mkoa mmefura kwa wivu na hasira
Siwezi kunajisi kizazi changu kwenye Ardhi ya maharamia🤣🤣Haya basi ChoiceVariable utakuwa rais na baba wa taifa la chato
Kwa mengi aliyoifanyia hii nchi kwa muda mfupiKwa sababu zipi?
Kwani na ww ulikuwa fisadi?Kaanzishieni kwenu Burundi
Hoja imepita bila kupingwaTunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa.....View attachment 2526364View attachment 2526379
Ni vyema aliyekuwa msaidizi wake (SSH) akalifanikisha hili swalaHoja imepita bila kupingwa
Aiseerais wa mpito ana wivu sana hawezi kukubali hili
Bila kusahau 17 february kwa wakaazi wa Zanzibar
Na yeye alikufa akiwa raisWhat about BW Mkapa? Unadhani yeye hastahili kuenziwa?
Wakuwaenzi wabaki kuwa NYERERE na KARUME[emoji41] wanatosha.
Hayo ni mawazo yako ya kipumbavuSijui kwa nini waimva mapambio wengi wa marehemu, hawana akili.
Hata kama kweli angekuwa amefanya mambo makubwa ya maana (mpaka sasa hakuna cha pekee kizuri kikubwa alichofanya ambacho watangulizi wake hawakufanya, ila yapo mabaya mengi ambayo alifanya ambayo watangulizi wake hawakufanya na watakaofuata hawatayafanya), mtu hajiulizi baada miaka 100 au 200 mbele itakuwaje kama kila Rais siku yake ya kufariki itakuwa ni mapumziko. Mkiwa na marais 50 waliofariki, maana yake muwe na siku 50 za mapumziko (ongeza na ambazo zipo), si litakuwa Taifa la wendawazimu?
Hiyo heshima amepewa Mwalimu Nyerere na Karume basi. Hakuna Rais mjinga atakayetangaza siku nyingine ya mapumziko eti kumuenzi marehemu. Watakumbukwa siku zao za kufariki kama ilivyokuwa birthdays zao walipokuwa hai.
Wewe huzuiwi, kutegemeana na mazuri aliyokutendea kama mtu binafsi, unaweza kuwa hata mwezi mzima March, kila mwaka uwe wa mapumziko.
Kwani NYERERE Ile 1999 alipofariki alikuwa madarakani?Na yeye alikufa akiwa rais
Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa.....View attachment 2526364View attachment 2526379
Na yeye alikufa akiwa rais
Mafisadi ni hao waliokwapua hela za plea bargain na kuzificha ughaibuni na kiranja wao ni huyo dhalim wenuKwani na ww ulikuwa fisadi?
Huyo shetani alikua wa kwanza kufa?Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa.....View attachment 2526364View attachment 2526379