PENDEKEZO: Rais Samia atangaze rasmi tarehe 17 Machi iwe Sikukuu ya kitaifa kumuenzi Hayati Magufuli

PENDEKEZO: Rais Samia atangaze rasmi tarehe 17 Machi iwe Sikukuu ya kitaifa kumuenzi Hayati Magufuli

Bila kusahau 17 february kwa wakaazi wa Zanzibar

Sijui ni kwa nini waimba mapambio wengi wa marehemu, hawana akili.

Hata kama kweli angekuwa amefanya mambo makubwa ya maana (mpaka sasa hakuna cha pekee kizuri kikubwa alichofanya ambacho watangulizi wake hawakufanya, ila yapo mabaya mengi ambayo alifanya ambayo watangulizi wake hawakufanya na watakaofuata hawatayafanya), mtu hajiulizi baada miaka 100 au 200 mbele itakuwaje kama kila Rais siku yake ya kufariki itakuwa ni mapumziko. Mkiwa na marais 50 waliofariki, maana yake muwe na siku 50 za mapumziko (ongeza na siku nyingine za mapumziko ambazo zipo), si litakuwa Taifa la wendawazimu?

Hiyo heshima amepewa Mwalimu Nyerere na Karume basi. Hakuna Rais mjinga atakayetangaza siku nyingine ya mapumziko eti kumuenzi marehemu. Watakumbukwa siku zao za kufariki kama ilivyokuwa birthdays zao walipokuwa hai.

Wewe huzuiwi, kutegemeana na mazuri aliyokutendea kama mtu binafsi, unaweza hata mwezi mzima March, kila mwaka ukaufanya uwe mwezi wa mapumziko.
 
Sijui kwa nini waimva mapambio wengi wa marehemu, hawana akili.

Hata kama kweli angekuwa amefanya mambo makubwa ya maana (mpaka sasa hakuna cha pekee kizuri kikubwa alichofanya ambacho watangulizi wake hawakufanya, ila yapo mabaya mengi ambayo alifanya ambayo watangulizi wake hawakufanya na watakaofuata hawatayafanya), mtu hajiulizi baada miaka 100 au 200 mbele itakuwaje kama kila Rais siku yake ya kufariki itakuwa ni mapumziko. Mkiwa na marais 50 waliofariki, maana yake muwe na siku 50 za mapumziko (ongeza na ambazo zipo), si litakuwa Taifa la wendawazimu?

Hiyo heshima amepewa Mwalimu Nyerere na Karume basi. Hakuna Rais mjinga atakayetangaza siku nyingine ya mapumziko eti kumuenzi marehemu. Watakumbukwa siku zao za kufariki kama ilivyokuwa birthdays zao walipokuwa hai.

Wewe huzuiwi, kutegemeana na mazuri aliyokutendea kama mtu binafsi, unaweza kuwa hata mwezi mzima March, kila mwaka uwe wa mapumziko.
Hayo ni mawazo yako ya kipumbavu
Na ni vyema yakaheshimiwa 🙏
 
Pokea ushauri huu wenye AKILI.

Waasisi wote nchini waliotangulia mbele za HAKI wanatakiwa kukumbukwa Kwa siku walizozaliwa na Si siku walizofariki.

Hii italeta BARAKA Kwa Nchi.

1. JK Nyerere akumbukwe Kwa siku ya Kuzaliwa kwake.

2. Benjamin Mkapa akumbukwe Kwa siku ya Kuzaliwa kwake.

3. Viongozi wote waliofia madarakani kama KARUME na MAGUFULI yahitaji mjadala wa kitaifa juu ya namna Gani ya kuwakumbuka.

Amen.
 
Back
Top Bottom