Unazungumzia CDM hi Sacco's ya kuweka na kukopeshana au ipi..mnazungumzia chama kilichokufa..loh jomba mnatia aibu..mpaka viongozi wenu wamewakimbia bado mpo tu..Kama mwislaeri ni mzungu na yesu alizaliwa kwenye familia ya wazungu ni wazi kuwa yesu hakuwa mweusi kwa ajili ya movie tu.
Kwa kweli wewe ni li-CCM tu huwezi kuta CDM akili fupi za hivyo.
We ungekuwa CDM ungekuwa humu saizi..siKama mwislaeri ni mzungu na yesu alizaliwa kwenye familia ya wazungu ni wazi kuwa yesu hakuwa mweusi kwa ajili ya movie tu.
Kwa kweli wewe ni li-CCM tu huwezi kuta CDM akili fupi za hivyo.
Watu wengi hamjui madikteta walivyo...akiwamaliza wa nje ataanza βkuwatafunaβ wa ndani..msifikirie mko salama sana ref:Kabudi,Lukuvi hawawezi kuwa maraisi ...Majaliwa hauna gurantee ya kuwa waziri mkuu..Anaongea kama yeye Mungu wakati hajui hata kama kesho ataamka kitandani...kuna watu wanafunga kwa maombi ila wanachadema wanafunga kuandika post. jitokezeni barabarani kuandamana hamtaki. Ila kwenye kufungua thread mpya tu mpo vizuri, keep it up
Jomba wewe nae unajiita mtu mweusi..una akili kweli wewe...Huyu mtu ni "MKAANGA SUMU", ni mtu "HATARI NA NUSU". Jana amesababisha watu waitishe kikao cha dharura chamwino, watu wasilale usingizi, na kasababisha kumtoa "JIWE & PROF POLEPOLE" dodoma kuwaleta dar, kuja kuwapigisha magoti kwa "BALOZI WA EU" pale magogoni. Umwamba, jeuri na matusi yote dhidi ya anaowaita "MABEBERU" mfukoni, leo anawaita waheshimiwa (Mheshimiwa Balozi Wa EU). [emoji16][emoji38][emoji28]
Kweli, kila goti litapigwa.
Mkombozi wa Waafrika.
Unacheza ngoma ya siasa usiyoielewa..hahahah jomba...huko hupaweziWatu wengi hamjui madikteta walivyo...akiwamaliza wa nje ataanza βkuwatafunaβ wa ndani..msifikirie mko salama sana ref:Kabudi,Lukuvi hawawezi kuwa maraisi ...Majaliwa hauna gurantee ya kuwa waziri mkuu..Anaongea kama yeye Mungu wakati hajui hata kama kesho ataamka kitandani...
Unacheza ngoma ya siasa usiyoielewa..hahahah jomba...huko hupawezi Kama una akili Kama ya mgombea Urais aliyekimbiaWatu wengi hamjui madikteta walivyo...akiwamaliza wa nje ataanza βkuwatafunaβ wa ndani..msifikirie mko salama sana ref:Kabudi,Lukuvi hawawezi kuwa maraisi ...Majaliwa hauna gurantee ya kuwa waziri mkuu..Anaongea kama yeye Mungu wakati hajui hata kama kesho ataamka kitandani...
Kijana mimi nafikiri wewe unaishi kwenye ulimwengu ambao kwa fikra zako hukustahili kuishi au uko kwenye illusion.Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.
Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:
"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"
Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.
Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.
Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Watu wengi hamjui madikteta walivyo...akiwamaliza wa nje ataanza βkuwatafunaβ wa ndani..msifikirie mko salama sana ref:Kabudi,Lukuvi hawawezi kuwa maraisi ...Majaliwa hauna gurantee ya kuwa waziri mkuu..Anaongea kama yeye Mungu wakati hajui hata kama kesho ataamka kitandani...
Wananchi tutaachana na wazungu kina Bob Amsterdam pale tu CCM nayo itakapovunja ndoa yao na polisi.
Trade off.
Salary Slip
Kijana mimi nafikiri wewe unaishi kwenye ulimwengu ambao kwa fikra zako hukustahili kuishi au uko kwenye illusion.
Kwa mtazamo wangu unaonekana kuwa wewe ni kijana ambaye umesha poteza matumani ya kujiamini wewe mwenyewe kwa unacho kifanya na pia kumwamini mtu mweusi mwenzako kwa chochote kie anacho kifanya.
Wewe umesha mweka mzungu kuwa ni mungu wako hata kama amekuwekea bastora kwenye kifua chako na anasubiri akumalize. Nasikitika uko radhi kwa lolote atakalo amua alifanye, kwani bado unategemea atakuokoa kimaisha kuliko hata baba yako.
Kusema kweli hoja yako imeniliza sana hata nikashindwa kula chakula cha jioni nikitafakari nini kimetokea kwenye serikali zetu mpaka vijana wenye fikra za aina yako wakaibuka.
Wewe kijana naomba nikuulize swali; ina maana wewe taarifa za kung'olewa madarakani kwa Mohamali Gaddafi wa Libya kwako hazijakufikia? Au humjui Mohamali Gaddafi alikuwa nani?
Namsikitikia sana Rais Magufuli. Kama vijana anaowategemea kuijenga nchi, wanadiriki kumwona Amsterdam ndiyo mkombozi wao, hapo basi tena. Nafikiri wakati umefika wa Rais Magufuli kujiuzuru. Vijana wanamtaka mzungu hata kama wao wenyewe hawatakuwa na chakula? Bola liende. Madam mzungu amechukua Dola.
RUBISH NI ILO LIPICHA ULILOLIWEKA KTK AVATER YAKO, NI LIRUBISH ASWA
Ikimaanisha hupendi haki?au nini?
siku hizi wanamwita Tundu Lissu Mwokozii
Unamjua mwandishi?Gonga link umjue vizuri huyu "mwanasheria" kabla ya kuandika mada ambayo huna uelewa mzuri!
Who is Robert Amsterdam?
Empire of the Deceit: Recep Tayyip Erdogan and Robert Amsterdamwww.empireofthedeceit.com
Anaenda kufa kama Babangida mpenda totozso magu ni dikteta? then thats the type of dictator we want in tz! hatutaki demokrasia yenu
Kama ambavyo nyie mna mambo ya faragha na mapolisinyie endeleeni nao wala hatutaki muachane kwa sababu mna mambo yenu ya faragha, na huyo amsterdam tunaweza mwita ikulu kwa magoti kama president wa IMF alivotii wito kwa magufuli kwa haraka
Lugola anafanya issue gani sasa?Ccm ni wafaidika wa huu udictator, unategemea wajichurie? Yesu wa ccm anafamika na Kange Lugola alishamsema.
Anaenda kufa kama Babangida mpenda totoz