Pendekezo: Wakili wa Kimataifa, Robert Amsterdam apewe nishani ya kupigania haki, uhuru na utu wa mtu mweusi

Kama mwislaeri ni mzungu na yesu alizaliwa kwenye familia ya wazungu ni wazi kuwa yesu hakuwa mweusi kwa ajili ya movie tu.

Kwa kweli wewe ni li-CCM tu huwezi kuta CDM akili fupi za hivyo.
Unazungumzia CDM hi Sacco's ya kuweka na kukopeshana au ipi..mnazungumzia chama kilichokufa..loh jomba mnatia aibu..mpaka viongozi wenu wamewakimbia bado mpo tu..
 
Kama mwislaeri ni mzungu na yesu alizaliwa kwenye familia ya wazungu ni wazi kuwa yesu hakuwa mweusi kwa ajili ya movie tu.

Kwa kweli wewe ni li-CCM tu huwezi kuta CDM akili fupi za hivyo.
We ungekuwa CDM ungekuwa humu saizi..si
mnatakiwa mkaandamane
 
kuna watu wanafunga kwa maombi ila wanachadema wanafunga kuandika post. jitokezeni barabarani kuandamana hamtaki. Ila kwenye kufungua thread mpya tu mpo vizuri, keep it up
Watu wengi hamjui madikteta walivyo...akiwamaliza wa nje ataanza “kuwatafuna” wa ndani..msifikirie mko salama sana ref:Kabudi,Lukuvi hawawezi kuwa maraisi ...Majaliwa hauna gurantee ya kuwa waziri mkuu..Anaongea kama yeye Mungu wakati hajui hata kama kesho ataamka kitandani...
 
Huyu mtu ni "MKAANGA SUMU", ni mtu "HATARI NA NUSU". Jana amesababisha watu waitishe kikao cha dharura chamwino, watu wasilale usingizi, na kasababisha kumtoa "JIWE & PROF POLEPOLE" dodoma kuwaleta dar, kuja kuwapigisha magoti kwa "BALOZI WA EU" pale magogoni. Umwamba, jeuri na matusi yote dhidi ya anaowaita "MABEBERU" mfukoni, leo anawaita waheshimiwa (Mheshimiwa Balozi Wa EU). [emoji16][emoji38][emoji28]

Kweli, kila goti litapigwa.

Mkombozi wa Waafrika.
Jomba wewe nae unajiita mtu mweusi..una akili kweli wewe...
 
Watu wengi hamjui madikteta walivyo...akiwamaliza wa nje ataanza “kuwatafuna” wa ndani..msifikirie mko salama sana ref:Kabudi,Lukuvi hawawezi kuwa maraisi ...Majaliwa hauna gurantee ya kuwa waziri mkuu..Anaongea kama yeye Mungu wakati hajui hata kama kesho ataamka kitandani...
Unacheza ngoma ya siasa usiyoielewa..hahahah jomba...huko hupawezi
 
Watu wengi hamjui madikteta walivyo...akiwamaliza wa nje ataanza “kuwatafuna” wa ndani..msifikirie mko salama sana ref:Kabudi,Lukuvi hawawezi kuwa maraisi ...Majaliwa hauna gurantee ya kuwa waziri mkuu..Anaongea kama yeye Mungu wakati hajui hata kama kesho ataamka kitandani...
Unacheza ngoma ya siasa usiyoielewa..hahahah jomba...huko hupawezi Kama una akili Kama ya mgombea Urais aliyekimbia
 
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.

Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.

Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:

"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"

Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.

Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.

Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Kijana mimi nafikiri wewe unaishi kwenye ulimwengu ambao kwa fikra zako hukustahili kuishi au uko kwenye illusion.

Kwa mtazamo wangu unaonekana kuwa wewe ni kijana ambaye umesha poteza matumani ya kujiamini wewe mwenyewe kwa unacho kifanya na pia kumwamini mtu mweusi mwenzako kwa chochote kie anacho kifanya.

Wewe umesha mweka mzungu kuwa ni mungu wako hata kama amekuwekea bastora kwenye kifua chako na anasubiri akumalize. Nasikitika uko radhi kwa lolote atakalo amua alifanye, kwani bado unategemea atakuokoa kimaisha kuliko hata baba yako.

Kusema kweli hoja yako imeniliza sana hata nikashindwa kula chakula cha jioni nikitafakari nini kimetokea kwenye serikali zetu mpaka vijana wenye fikra za aina yako wakaibuka.

Wewe kijana naomba nikuulize swali; ina maana wewe taarifa za kung'olewa madarakani kwa Mohamali Gaddafi wa Libya kwako hazijakufikia? Au humjui Mohamali Gaddafi alikuwa nani?

Namsikitikia sana Rais Magufuli. Kama vijana anaowategemea kuijenga nchi, wanadiriki kumwona Amsterdam ndiyo mkombozi wao, hapo basi tena. Nafikiri wakati umefika wa Rais Magufuli kujiuzuru. Vijana wanamtaka mzungu hata kama wao wenyewe hawatakuwa na chakula? Bola liende. Madam mzungu amechukua Dola.
 
Watu wengi hamjui madikteta walivyo...akiwamaliza wa nje ataanza “kuwatafuna” wa ndani..msifikirie mko salama sana ref:Kabudi,Lukuvi hawawezi kuwa maraisi ...Majaliwa hauna gurantee ya kuwa waziri mkuu..Anaongea kama yeye Mungu wakati hajui hata kama kesho ataamka kitandani...

so magu ni dikteta? then thats the type of dictator we want in tz! hatutaki demokrasia yenu
 
Wananchi tutaachana na wazungu kina Bob Amsterdam pale tu CCM nayo itakapovunja ndoa yao na polisi.

Trade off.

Salary Slip

nyie endeleeni nao wala hatutaki muachane kwa sababu mna mambo yenu ya faragha, na huyo amsterdam tunaweza mwita ikulu kwa magoti kama president wa IMF alivotii wito kwa magufuli kwa haraka
 
Kijana mimi nafikiri wewe unaishi kwenye ulimwengu ambao kwa fikra zako hukustahili kuishi au uko kwenye illusion.

Kwa mtazamo wangu unaonekana kuwa wewe ni kijana ambaye umesha poteza matumani ya kujiamini wewe mwenyewe kwa unacho kifanya na pia kumwamini mtu mweusi mwenzako kwa chochote kie anacho kifanya.

Wewe umesha mweka mzungu kuwa ni mungu wako hata kama amekuwekea bastora kwenye kifua chako na anasubiri akumalize. Nasikitika uko radhi kwa lolote atakalo amua alifanye, kwani bado unategemea atakuokoa kimaisha kuliko hata baba yako.

Kusema kweli hoja yako imeniliza sana hata nikashindwa kula chakula cha jioni nikitafakari nini kimetokea kwenye serikali zetu mpaka vijana wenye fikra za aina yako wakaibuka.

Wewe kijana naomba nikuulize swali; ina maana wewe taarifa za kung'olewa madarakani kwa Mohamali Gaddafi wa Libya kwako hazijakufikia? Au humjui Mohamali Gaddafi alikuwa nani?

Namsikitikia sana Rais Magufuli. Kama vijana anaowategemea kuijenga nchi, wanadiriki kumwona Amsterdam ndiyo mkombozi wao, hapo basi tena. Nafikiri wakati umefika wa Rais Magufuli kujiuzuru. Vijana wanamtaka mzungu hata kama wao wenyewe hawatakuwa na chakula? Bola liende. Madam mzungu amechukua Dola.

hawa wachukulie tu kama wapo kwenye sku zao na hawatusumbui, na yule mwanamke wao wa faragha alinusurika mawe sasa hawa wacha wamwage hata mkojo tutawashuhulikia sisi wenyewe kwa wenyewe wala usiumize kichwa
 
Robert Amsterdam ni MTU NA NUSU ,atakuja kukumbukwa kama Wenzake kina Einsten.
 
nyie endeleeni nao wala hatutaki muachane kwa sababu mna mambo yenu ya faragha, na huyo amsterdam tunaweza mwita ikulu kwa magoti kama president wa IMF alivotii wito kwa magufuli kwa haraka
Kama ambavyo nyie mna mambo ya faragha na mapolisi
 
Back
Top Bottom