Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Ndiyo tunaishi hivyo mkuu.Mh mnaringa sana nyie
Nimeona uchungu kumwita hapa najua ataona tu.Hebu kwanza mtag hapa...
Shukrani kiongozi.Kongole kwenu bwashee
Zipo nyingi tu bro nyingine zinaisha hata haujui😅JF ina couple mpya na sijui
Ndio mkuu, na nadhani ndio sababu wametenganisha majukwaa.Una habari platform hii anasoma mpaka mheshimiwa Rais wako na viongozi wakuu kweli kabisa uko serious wakutane na Uzi wako huu yaani watanzania wote tutumie muda wetu kulisoma Penzi lenu maendeleo yake
Lakini wengi tunasoma yote kwenye new post ndo kweli unataka wakuu QA vyombo vya usalama wasome ulivyo obsessed na mwanamkeNdio mkuu, na nadhani ndio sababu wametenganisha majukwaa.
Naona akili imerudi sasa🥵Nimeona uchungu kumwita hapa najua ataona tu.
😄😄Ipi imeisha bro na sikuijua?Zipo nyingi tu bro nyingine zinaisha hata haujui😅
Kijana maskini, sasa unaweza kukopa hadi Tsh 600. Endelea kutumia huduma ya Nipige Tafu na kulipa kwa wakati ili kufaidika zaidi! Piga *149*01*99# sasa.Tangu tumekubaliana kuhusu ndoa sikuoni ukilifurahia hili jukwaa kama zamani, nadhani huu ni utii kwangu mume wako mtarajiwa na utii kwa ajili ya ndoa pia.
Nilitegemea mwezi huu nikipokea rejesho ndiyo niibuke huko jijini daresalama lakini mipango sio matumizi mambo hayakwenda sawa.
Niseme tu sifurahii kukuweka kwenye hii jela ya kifikira, kuwa huru. kwa sasa sitakuwa nakutagi mahali kama mke wangu hadi pale nitakapo ona mipango yangu inaenda sawa.
Ni mimi Kijana Masikini nakupenda sana Marry ila sina namna naweza kukumiliki. Ilove you 😪😪😪