Pengine huu ni uzi wa mwisho kuandikwa na mimi kukuhusu wewe kipenzi changu Marry

Lakini wengi tunasoma yote kwenye new post ndo kweli unataka wakuu QA vyombo vya usalama wasome ulivyo obsessed na mwanamke
Hapana ila kama sio jambo zuri nadhani ni muda wa jf kuweka majukwaa tofauti ambayo new post zitatokea, kwa mfano new post za Jukwaa la mahusiano na chitchat zitokeze sehemu fulani, vile vile kwa majukwaa mengine. Kwa sababu ukiachana na penzi letu kuna post nyingi tu ambazo haziendani maudhui lakini zote zinatokeza sehemu moja.
 
😲😲 Duh ! ndo natoka kuchukua suti yangu kwa fundi sasa hivi, nikijua ndoa wiki ijayo, 😞
 
Una habari platform hii anasoma mpaka mheshimiwa Rais wako na viongozi wakuu kweli kabisa uko serious wakutane na Uzi wako huu yaani watanzania wote tutumie muda wetu kulisoma Penzi lenu maendeleo yake
Ko na wewe kwa akili yako unataka kila siku watu waposti NO REFORMS na upuuzi mwingine unaoujua wewe? 🥴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…