Pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Humfahamu Vizuri na Unasema ni Adui Yako

Je uwepo wake, tunaweza kuthibitisha kisayansi?
Ulimwengu wa roho unafanya kazi kinyume na asili aliyoumbiwa mwanadamu na sayansi . Uwepo wake hauthibitishwi kisayansi sawa na ambavyo uwepo wa Mungu hauthibitishwi kwa sayansi. Uwepo wake unathibitishwa kwa njia kiroho kwa wanaotumia nguvu zake. Au kwa matokeo yanayotokana na nguvu zake tunayoweza kuyaona
 
Upo sawa Ndugu yangu
SIo.
Na sadaka ni sehemu ambayo hatuwez epuka. Kwamganga tunatoa mtu sasa kwa Mungu tunatoa nn mkuu.
Inawezekana kwakuwa najua sana nguvu ya sadaka. Sala/kuomba na kufunga ndo maana nikagusa hapo
 
Kwa wale wasioamini uwepo wa mungu, mfano wapagani, huwa awaathiriwi na uwepo wa shetani?
 
Shida makanisa ya sasa yanapenda Hela tu kama sadaka. Na Wakati Mungu anapenda sadaka za viumbe zaidi.
 
Hatupaswi kumpa umuhimu lkn pia hatupaswi kuubeza uwezo wake km vile sisi pia Ni wa Ulimwengu wa roho
 
Naona shetani ana uwezo kuliko Yesu, ona alipombeba mzima mzima mpaka mlimani na kumuonyesha utajiri wote wa dunia.
Hahahahahaha . Ukumbuke kuwa Yesu anatumia uweza na nguvu za Mungu ( Jehova) . Ndiyo maana pale msalabani alisema " Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha?
Kwahiyo Mungu akijitenga akajitoa ndani ya Yesu , Yesu anapata wakati mgumu ..
 
Shida makanisa ya sasa yanapenda Hela tu kama sadaka. Na Wakati Mungu anapenda sadaka za viumbe zaidi.
Mkuu sadaka iwe ya kiumbe au cash still ni sadaka. Pia sadaka hupangiwi pa kupeleka.
UKiona nafai yakp inapinga sana sadaka ujitafakari.
Kama kwa mganga pekee kunasadaka tena kubwa huko kwa Mungu si ndo tungepaswa tutoe kubwa zaidi?
 
Amina ndugu , sadaka ina umuhimu mkubwa
 
Naona shetani ana uwezo kuliko Yesu, ona alipombeba mzima mzima mpaka mlimani na kumuonyesha utajiri wote wa dunia.
Kumbeba haimaanishi kuwa ananguvu kuliko yeye. Mfano nowdays kunautajiri unatoka kwa shetan na ni wa haraka na mkubwa. Shetan anauwezo wa kutoa vitu vikubwa na kufanya maajabu ambayo kama huna kristo moyoni hutojua kama n hila za shetani. Ila yote si kumaanisha ni kweli ila ni mazingaumbwe tu hayo. Shetan anajua Mungu n mkuu na mlinzi wetu sikuzote na yeye anaogopa lindo lake

MFano Mungu alikuwa anamlinda ayubu na shetan alijuwa

Hapa check shetan alivyokuwa anamwambia Mungu "Wewe hukumzingira kwa ukigo pande zote, pamoja na nyumba yake, na vitu vyote alivyo navyo? Kazi za mikono yake umezibarikia, nayo mali yake imeongezeka katika nchi. "
 
Lakini si alimbeba? Mungu anabebwa? Hadithi hizi kwemye Biblia ni sawa tu na zile za sungura.
 
Ni kweli hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…