Watanzania pia tuna values na customs katiba sio kipaumbele chetuwe lofa UK wana values na customs ambazo kwazo ndio muongozo labda tuanze kujadili aina za katiba otherwise funga domo lako usidanganye hapa
Umenena Vema hata waandishi wa HABARI hawajui protocol ya kanisa Katoliki. Hushawishika kumuhoji Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo badala ya Rais wa Baraza la maaskofu au Katibu wa Baraza la maaskofu.Kwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki,askofu pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,
Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake
Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa mwanza,pengo yuko chini yake Rais wa Baraza
"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine
Mpakwa mafuta anapokwenda kinyume na maagizo ya mungu basi kuhani mkuu huagizwa na mungu kumtia mafuta mteule mpya na yule kaidi mungu humfutilia mbali hata kizazi chake...Nathubutu kusema Askofu wangu Pengo uzee unamwingia vibaya...hata hekima ile ya kawaida ambayo angeweza kuwa nayo kijana form four failure kwake imeshaondoka{natubu kunena haya juu ya mpakwa mafuta}ila ukweli lazima usemwe!!!sijui amehongwa au ninini sijui,labda nae anautafuta ukuu wa wilaya?!au ukatibu mkuu!inasikitisha.
Katiba mpya ni lazima tuipate ili kuwadhibiti makanjanja kama wa ccm kisheria zaidiWatanzania pia tuna values na customs katiba sio kipaumbele chetu
Hata sisi tukifikia kuwa kama UK hatutahitaji katiba. Tukiacha kufungia magazeti kwa sababu ya ukosoaji, au kuzuia TV live kwa sababu za kijinga, tukifikia hapo kweli hatutahitaji katiba.Uingereza haijawahi kuwa na katiba na haina mpango wa kuwa na katiba lakini ni nchi iliyoendelea.Katiba sio kipaumbele cha maendeleo
Wanahabari wanatakiwa waelewe pia kuna shemasi amewahi kuwa cardinal na kuna padri ni cardinalUmenena Vema hata waandishi wa HABARI hawajui protocol YA kanisa wakatoliki. Hushawishika kumuhoji Mwadhama Polycarp kadinali Pengo badala YA Rais wa Baraza la maaskofu au Katibu wa Baraza la maaskofu.
Hamia uingereza basi au ukiona vipi sepa hamia SomaliaHata sisi tukifikia kuwa kama UK hatutahitaji katiba. Tukiacha kufungia magazeti kwa sababu ya ukosoaji, au kuzuia TV live kwa sababu za kijinga, tukifikia hapo kweli hatutahitaji katiba.
Naunga mkono hoja japo na mie ni mkatoliki ila huyu pengo amekuwa kikwazo kikubwa kwa mabadiliko ya kweli ya uchumi na ustawi wa jamii yetu.Yote hayo anayasema Pengo leo ni kwa sababu anayetawala sasa ni Mkatoliki ambaye inadaiwa kwa makusudi anaipa Favor ya juu taasisi ya ukatoliki hapa Tanzania.
Kama mtawala angekuwa ni muislamu(Kama kipindi kile cha Kikwete) Askofu Pengo ungemwona yuko busy kila Jumapili kuikosoa serikali na kudai uwepo wa katiba mpya yenye kutoa haki kwa watanzania.
Nashukuru, mimi nilikuwa najua Kardinali ni cheo kikubwa kuliko vyote? Asante sana kwa kunifungua. Sasa maswali yangu ni haya; 1. Kwanini ahamishwi jimbo la DarKwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki,askofu pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,
Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake
Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa mwanza,pengo yuko chini yake Rais wa Baraza
"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine
Ulitaka aiponde serikali ndio uone anafaaHuyu mzee anazeeka vibaya maana yeye syo msemaji wa maaskofu wala kikanisa syo kwamba yeye no bosi wa maaskofu wenzake
Awe mpole maana hata sisi tukisema kitu na yeye itabidi acheck umri wetu...Pengo ata akisema kitu akuna ulazima kumsema vby cheki na umri kwanza
MAtibabu ya mara kwa mara ya Pengo huko Dubai huwa anagharamia nani?Huyu siyo Askofu tena ni mpiga debe wa CCM.
[emoji4] [emoji4] siongezi neno mkuu umemalizaKwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki,askofu pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,
Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake
Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa mwanza,pengo yuko chini yake Rais wa Baraza
"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine
CCMMAtibabu ya mara kwa mara ya Pengo huko Dubai huwa anagharamia nani?
[emoji23] [emoji23] yule Mzee anazeeka vibaya.Kama hataki apumzike tu kama mwenzie Benedicto wa 16, sio lazima ufie kwenye kiti
Ni kweli....Pengo ni janga kwa Wakatoliki wa taifa hili... Anna Abdhalah ni janga kwa maendeleo ya WanaKusini..
Udini mbaya sna
Na tena alisema ni bora aitwe mchochezi hakusema ni bora kanisa katoliki liitwe linachocheaPengo ni MNAFIKI sana ,Niwemugizi alitoa maoni yake binafsi wakati wa kongamano lile,kwani kuna sehemu ilinukuliwa ikisema yale ni maoni ya Kanisa Katoliki? Tuache unafiki nimekosa uvumilivu na Baba kadinal Pengo