mgumuasilia
Member
- Jan 2, 2017
- 40
- 11
AtumuamitenaHivi kuna mtu anamuamini Pengo mpaka leo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AtumuamitenaHivi kuna mtu anamuamini Pengo mpaka leo ?
Mtoto mwenye hekima kamwe hawezi kumuita mzazi wake mnafiki na mpuuziNimesikitishwa sana na kauli zako za kipuuzi, zilizo jaa unafiki, tumekusikia sana ukijipambanua kuwa wewe si muumini wa mabadiliko, tuambie upande wako ni UPI.
Kweli kabisaNakuhakikishia Yesu akirudi leo atamtimua pengo kanisani , huyu mzee haaminiki tena na sisi waumini .
Nikweli kabisaHata kauli ya Pengo Bila Shaka sio msimamo wa kanisa katoliki ni maoni yake binafsi
Hivi Paulo alipowaandikia wakristo wa Galatia "Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaloga" hakuwa na adabu kwa Wakristo wenzake wa Galatia?Mtoto mwenye hekima kamwe hawezi kumuita mzazi wake mnafi na mpuuzi
Ungelikuwa Mkatoliki, tena mshika dini 'mkatoliki hai', usingeli mtukana na kumkejeli kiongozi wako
Sasa hapani londonPengo yuko sahihi hata uingereza kipaumbele chao sio katiba na hawajawahi kuwa na katiba na hawatarijii kuwa na katiba. kipaumbele ni kero halisia za raia wake kutatuliwa. Askofu pengo yuko sahihi asilimia 100
Kwa Mungu mwenda wazimu na timamu na takataka na masikini na tajiri yeye hana kubagua wote watu wake!siku ya mwisho hautaulizwa wewe ulikuwa nani duniani ama ulikuwa na cheo gani bali utahukumiwa kutokana na matendo yako, kile kibaba ulichowapimia wenzako ndicho nawe utapimiwa hicho hicho hautazidishiwa wala hautapunguziwaWewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Halafu wanakataza nisiongeze mke wa pili!Pia Pengo sio msemaji wa kanisa katoliki Tanzania bali baraza la maaskofu ndio lenye kuweza kusema kupitia kaatibu wake au Rais wa baraza.
Pili kila askofu anayo mamlaka ya kutoa msimamo wa jimbo analosimamia bila kuingiliwa na Pengo.
Je hiyo mamlaka ya kumkosoa huyo askofu ameipata wapi.
Lakini pia hoja ya askofu Niwemugizi sioni kama inakinzana na kanisa na unaweza kuwa msimammo wa waumini wa jimbo lake na pia unaweza kuwa msimaamo wake binafsi. Na wala hakusema ndio msimamo wa kanisa kardinali Pengo ametoka wapi kumjibu?
Mojawapo ya sifa ya kanisa katoliki ni kusema kweli pasipo kificho ama unafiki.
Mhashamu Kardinali Pengo umekengeuka kwa hili
Hapa kuna hoja tatu za kujadili, chagua moja uijadili.Wewe huna tofauti na Gwajima
Ni kweli kabisa hyu jamaa kwanza katudharau waumini Wa jimbo LA Rulenge Ngara ila kawadhalilisha zaidi waumini wengine Tanzania kusema kwamba msimamo Wa niwemugizi Ni msimamo Wa jumbo lake huko Ni kuligawa kabisa huyu muhuni anafaa kukemewa!!Hawa ndio viongozi wanaosababisha waumini wayumbeyumbe na kuishia kukimbia kanisa. Kwahiyo yeye anasema kama nani hapo? Shame!
Acha kuita watu takatakaWewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Wewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Acha ukilaza vyama ndivyo vinavyo mteua mtu kutokana na katiba na taratibu zao chama kikiwa na vilaza kama wewe watateua mgombea Kilaza atakae badilisha katiba kwa maslahi yake na chama chake. Tuanze kurekebisha katiba za vyama kisha tutapata mtu ataetuunga mkono wa kizalendo kurekebisha katiba tuliyo nayo. Umesikia wewe Kilaza?....Acha ujuha, tunazungumzia katiba ya nchi kwa watanzania 50 mill, hivi unajua watanzania walioko kwenye vyama ni wachache kuliko wasio na vyama? Mkiwa majukwaani mnahubiri utaifa na uzalendo, huku vichochoroni mnakomaa na chama chenu cha makanikia.