Msolid boy
Member
- Dec 19, 2019
- 32
- 71
Mkuu, ata mziki wa zamani ulikuwa na vina pamoja na ujumbe uliotukuka Kwa wakati wake na hadi sasa. Ndiyo maana nikajaribu kukuwekea baadhi ya vizazi kulingana na muda wao.Si muweke hizo ngoma tizifanyie comparison..
Mnaeleza nadharia tu but hamjui Vina wala hamumskizi.
Bakin na hao mapupular artist.. Vina ana kiti cha peke yake
Japo kuwa Kuna vizazi vya muda wote (mazingira yanapo badirika nao wanabadirka).
Langa hawezi kufanishwa na Dizasta bhana!
Langa ni Langa na Dizasta ni Dizasta.