Pengo la Langa limezibwa na Dizasta Vina

Pengo la Langa limezibwa na Dizasta Vina

Si muweke hizo ngoma tizifanyie comparison..

Mnaeleza nadharia tu but hamjui Vina wala hamumskizi.

Bakin na hao mapupular artist.. Vina ana kiti cha peke yake
Mkuu, ata mziki wa zamani ulikuwa na vina pamoja na ujumbe uliotukuka Kwa wakati wake na hadi sasa. Ndiyo maana nikajaribu kukuwekea baadhi ya vizazi kulingana na muda wao.

Japo kuwa Kuna vizazi vya muda wote (mazingira yanapo badirika nao wanabadirka).

Langa hawezi kufanishwa na Dizasta bhana!

Langa ni Langa na Dizasta ni Dizasta.
 
Content za nyimba kama
1. Muscular and ferminist
2. Confession of mad philosopher
3. Hatia iii
N. K
Hazijawahi kuwepo kwenye hii industry.

Vina ana provoke mind..
 
Mkuu, ata mziki wa zamani ulikuwa na vina pamoja na ujumbe uliotukuka Kwa wakati wake na hadi sasa. Ndiyo maana nikajaribu kukuwekea baadhi ya vizazi kulingana na muda wao.

Japo kuwa Kuna vizazi vya muda wote (mazingira yanapo badirika nao wanabadirka).

Langa hawezi kufanishwa na Dizasta bhana!

Langa ni Langa na Dizasta ni Dizasta.
Nimekwambia weka ngoma unaogopa..

Ndio hizo matawi ya juu? Au rafiki? Au ile verse ya kwenye ni hayo tu? 😅 😅 😅

Sasa Langa anazidi nini vina? Labda fame na populality..

Kuna jamaa hapo ananambia ameskiza verteller, labda mara moja tu kasikiza ngoma afu anasema eti nimeskiza verteller youtube.. 😁😁😁

Hamna content za kum, kumngumzia vina.

Ile intro tu ya verteller inabidi upate msaada wa google kuelewa majina ya wale watu wanaotajwa.

Rapper anajua
Physics
History
Bios
Language

Afu mnamuweka na hao Rapper wenu form four falier.. 😁 😁 😁
 
Mkuu, hakuna chakuogopa hapo! Mbona Nyimbo baadhi nilikuwekea. Alizo imba na kushirikishwa.

Nilikuuliza kama Langa angekuwepo hai na anaendelea kuimba je angekuwa anatoa Nyimbo za kiwango gani cha content?na Bora Kiasi gani katika mziki wa Hip Hop?

Kwa kusikiliza tu Nyimbo 3 nilizo zitaja, kama unajicho la kuona mbali basi huwezi mlinganisha na huyo Dizasta.
 
Mimi sio mtabiri bro.

People always change, hasa watu wale wanaopenda kujifunza kila kukicha, tofauti na wale wanabaki na wanayoyajua kila siku.

Kwa hiyo siwezi jua angeandika nini leo.

Lakin hizo ngoma na hizo bar kwenye hizo ngoma ni nyepesi sana kwa Vina kama pamba..

Isikize hiyo rafiki afu Isikize BEST FRIEND.

Umbali wa mashariki na magharibi.

Langa hana content yeyote ya kumkaribia Vina. Sio Langa tu industry hii hayupo mtu kama Vina.

Kama yupo wekeni ngoma hapa tufanye analysis.
 
Ni kweli langa ni mkali na alifanya poa sana enzi zake.mimi ni shabiki wake mkubwa sana.

Tukirudi kwa dizasta,siwezi mfananisha na Langa,ila ikitokea napewa package za nyimbo za langa na dizata nichague moja nisikilize zote.

Package ya dizasta nitaisiliza bila ku skip wimbo hata mmoja,na kuna ngoma lazima urudue ili uelewe na sometimes mpaka google unazama ujue jamaa anamanisha nini.kiufupi ubongo unaburudika na unapata activity ya kufanya.

Sorry Langa for this,i have to go dizasta in case kuna kuchagua.ila Langa namkubali sana
 
Mtu amemtaja hata Stamina kuwa msanii mkali wa Hiphop halafu bado unaendelea kumueleza kuhusu Dizasta ukifikiri ataelewa. Serve your energy bro
Kusema tu hujaona codes i.e. Huwezi kuilewa hiyo ngoma.

Mfano T 9 12.. Independents date

Maria s... Ni nani huyu reporta?

Martin.... Na huyu nae?
Tarehe ya meli kuzama... (Inatoa ujumbe gani)

Bro vina anaandika beyond the scope!

Hiyo ni intro tu... Unajua vile viboko 38.. What does it mean?

So umejaribu Kufanya analysis ndogo ya taswira ya nje.

Ila in deep kuna content ambazo wanaelewa wachache sana...

Sikwambii usikize mwanajua utatoka mweupe.
Am
 
Hapa nipo nasikiliza nyumba ndogo .oya dizasta ni mnoma bana
 
Ndo sababu nimekuambia mnajua nyie wapenzi wake zaidi, general public haimjui. Nilimuona dk 10 za maangamizi nikavutiwa, nikamsearch youtube verteller nikasikiliza, it is alright, good stuff, but nothing exceptional or extraodinary. Sasa kelele zenu wapenzi wake kwa tulio skiliza hip hop for close to 4 decades its like he is the next big thing wakati he is just on same group just like the rest of the pack
Kama umemsikiliza vizuri,vip zile content zake ?unaona ni kichwa cha kawaida kwa kizazi chake hiki,achana na malegend tunaongelea hawa kizazi chake
 
Mtu amemtaja hata Stamina kuwa msanii mkali wa Hiphop halafu bado unaendelea kumueleza kuhusu Dizasta ukifikiri ataelewa. Serve your energy bro

Am
Fan boy at your best, go kiss your boy scout you dick rider
 
Hapa nipo nasikiliza nyumba ndogo .oya dizasta ni mnoma bana
Bro hawa wanamuongelea vina ila hawamjui.
Ndio maana hawana content za ku jadili hata za kumpinga

Wanaishia kuandika hizo dick nini sijui 😁😁😁
 
Kuna wasanii ambao huwa nikiwasikiliza napata kama goosebumps... Mmoja wapo ni Langa hakukosea kujiita hilo jina.

Edited: Save it!
 
Back
Top Bottom