Peniela (Story ya kijasusi)

Nimeona notification yako nikajua umeshusha mzigo[emoji35]
nimetupia viwili mkuu maana watu wanalalamika sana utamu umewanogea wanasahau hapa story ndio inaanza na kazi ndio inaanza kufanyika mwanzo alikuwa mtunzi anatengeneza kisa na wahusika. naona sasa wamebakia wahusika wapiga kazi .mda sio rafiki kwao lkn nyeti zote wanazifaham wao ndio wanawafaham washiriki wote wanao inyatia package mpaka mnunuzi
 
lege shusha mkuu...pleaseeee
 
Hata Mimi hapa nimeshangaa kwa akili ya kawaida haiwezekan maana hakuna wa kumuunganisha Elibariki kwa Dr. Joshua tena na hapa ili storii uendelee kuwa tamu inatakiwa Elibariki akufe tuuu maana hamna namna
Pamoja na yote hayo Daudi1 na wengine nawakumbusha kuwa Elibariki ndio stelling
Sasa kama stelling anauawa poa?
 
Pamoja na yote hayo Daudi1 na wengine nawakumbusha kuwa Elibariki ndio stelling
Sasa kama stelling anauawa poa?

sterling ni peniela bana...na sio Elibariki..hadithi inaitwa Peniela...ngoja tuone
 
Pamoja na yote hayo Daudi1 na wengine nawakumbusha kuwa Elibariki ndio stelling
Sasa kama stelling anauawa poa?
WE eti Elibariki Stelling?sio kweli Stelling hapa ni Methw ndie atakaye contol issue zote hadi dakika ya mwisho,then Eli atamkana Methw kwa time hii atashirikina na Dr Joshua kuuza kirusi but yeye atakizuia kwa makusudi kwa njia atakazojua yeye kisha atampa Methw ambaye atakuwa ametekeleza agizo la John na Deus,Mwisho Deus ataghair kumpa Urais Elibariki,So huenda Urais akaukwaa Methw

Hii hadith nzuri lakini ndefu
 
This story is too touching now. Ningejua kipande cha Jana nisingesoma usiku ile. Nimenyimwa usingizi nzuri, niliguswa mno na kipande mile.

Mtunzi amenipata.
Kwa kweli hata mimi nilijutia kusoma ule uupuuzi wa Elibariki
 
Josh atajiunga na akina Mathew, itakuwa mtu 3 ya ukweli.
 
Tupia hata 5 alf tukutane usiku kabisa
 
Ili niweze kufanya kaz zangu vzr naitaji kujua kilichotokea kwa anitha la sivyo leo mwajir kala loss lege tafadhali tupia kama mbili ivi pamoja majukum ulionayo
 
Bado nashikilia msimamo wangu, Elibariki huyu wa sasa ni tofauti kabisa na Elibariki wa mwanzo, hakuna cha stress ya mapenzi itayombadilisha mtu 180° kama sio 360°. Hapo kuna udhaifu mkubwa wa kuunganisha matukio. Lkn ni story nzuri sana ingawa a lot has been exaggerated on Peniella sexual behaviour hadi imechefua.
 
Peniela kibox alikiifadhi kwenye nyumba aliyopewa na Raisi
 
Mtihani hapo ni Penny kuwahi appointment ya Rais SAA 7:00 Mchana. Worse enough mtaalam wa kudukua katekwa sijui watafanya nini baada ya kupata namba ya anaekuja kuchukua mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…