Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sPentekoste imechanganyikiwa,wala haijui ikitakacho.
ile injili iliokuwa ikihubiriwa imegeuzwa ufisadi.
Hali ya pentekoste ni mbaya kwa sasa kuzidi Roman.
imekuwa na kanisa la watafuta miujiza na pesa.
chumvi na maji.
moja ya mambo kanisa limejichanganya nayo;
1; mahubiri ya pesa tu na mali, kamwe Bwana yesu hakuwahi kuwa na mahubir ya mtindo huu. biblia inasema haiwezekan kwa tajiri kuurithi ufalme wa mungu. utafuteni kwanzaufalme wa mungu na hayo mengine mtazidishwa
kanisani wamejazana wenye dhambi wanaotaka baraka za Mungu.
2; WAHUBIRI/WAHUDUMU WANAWAKE.
1Wakorintho 14;32Roho za manabii zinawatii
manabii. 33Kwa maana Mungu si Mungu wa
machafuko bali ni wa amani.
Kama ilivyo katika makusanyiko yote ya
watakatifu, 34wanawake wanapaswa kuwa
kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali
wanyenyekee kama sheria isemavyo. 35Kama
wakitaka kuuliza kuhusu jambo lo lote,
wawaulize waume zao nyumbani. Kwa maana
ni aibu kwa mwanamke kuzungumza kanisani.
1 timotheo 2;11
11Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa
utii wote. 12Simpi mwanamke ruhusa ya
kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya
mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa
kimya.
3;KUNENA KWA LUGHA
1 wakorintho 14;16
Kama mtu ye yote akinena kwa lugha,
basi waseme watu wawili au watatu si zaidi,
mmoja baada ya mwingine na lazima awepo
mtu wa kutafsiri. 28Lakini kama hakuna mtu ye
yote wa kutafsiri, hao watu na wanyamaze
kimya kanisani na wanene na nafsi zao
wenyewe na Mungu.
4; USASA IBADANI
Mungu hajwahi kwenda na wakati kwa sababu maendeleo ya usasa yoote ni ya ibilisi. yeye ni yeye yule jana leo na hata milele habadiliki. akisema usivae hiki ni hivyo milele . sasa huu usasa wa mpaka kumuita mungu DADY ni aibu kanisani.
5; MIUJIZA NJE YA NENO LA MUNGU
hapa sasa ndo kuna tatizo kubwa watu wamekuwa wakifata miujiza na si neno. kumbuka B wana yesu alitumia miujiza ili kuwavuta watu awahubirie neno la uzima. ila huu uhubiri wa kumwagia chumvi nymba na kuweka picha ya mhubiri chini ya biasharayako ni ushetani na ushirikina.
KWA KUMALIZA UKIANGALIA VIZURI WENGI WALIOKUWA WASHIRIKINA WALITAFUTA AINA MPYA YA USHIRIKINA ULIOJIFICHA KATIKA VAZI LA KIDINI.
WENGI WAMEENDA KWA WAGANGA NA KWA MANABII KWA KUWA NI VVITU VINAVYOFANANA.
INASIKITISHA KUONA PENTEKOSTE ILIPOFIKIA.
pentekostre ingeanza zaman za romani basi ingekuwa na uozo kuliko roman ilipofikia. pentekoste inamuda mchache tuu ila imeenda njia ya kuzimu mapema mnooo.Roman haijawahi kuwa na hali mbaya kufikia hatua ya kufananishwa na pentekoste
Neno Ni lenyewe, wewe ndio sio mwenyewe, umepotoka kabisa. Kumbuka ulimwengu wa Giza una vitu unavyotumia, vifaa mbalimbali Kama chungu, ngozi za wanyama, vibuyu nk.
Vilevile ulimwengu wa Nuru una vifaa mbalimbali ambavyo vimetumika na watakatifu na vinaendelea kutumika. Mf. Mafuta, maji, chumvi nk. Hivi huwakilisha ulimwengu wa nuru. So mtu akitumia hivyo ibadani sio kwamba anakosea hasha Bali wewe ndio unakosea kwa kuwapa watu uzito wakuwaamini watumishi wa Mungu. Na watu Kama wewe yesu kasema Ni heri kufungwa jiwe nakutoswa baharini.
Watumishi wa Mungu wanajitahidi kufundisha vizuri lkn watu Kama wewe ambaye hujui hata neno Wala huamini ktk miujiza Ni tatizo. Kwani Ni muujiza gani ambao wewe umewahi ukubali kwamba umetoka kwa Mungu?
Hao akina mwamposa wanakusanya pesa nyingi lkn sio kwamba wanafikia level za roman catholic ambao wanafanya biashara wanna maseminali, Wana mahospitali, wanauza vitabu, rozali, nk. Mwamposa kuuza maji tu unaona kakumalizia hela zote wakati pesa hizo zinatumika kuendeleza kazi ya Mungu. Acheni fikra potofu.
s
Neno Ni lenyewe, wewe ndio sio mwenyewe, umepotoka kabisa. Kumbuka ulimwengu wa Giza una vitu unavyotumia, vifaa mbalimbali Kama chungu, ngozi za wanyama, vibuyu nk.
Vilevile ulimwengu wa Nuru una vifaa mbalimbali ambavyo vimetumika na watakatifu na vinaendelea kutumika. Mf. Mafuta, maji, chumvi nk. Hivi huwakilisha ulimwengu wa nuru. So mtu akitumia hivyo ibadani sio kwamba anakosea hasha Bali wewe ndio unakosea kwa kuwapa watu uzito wakuwaamini watumishi wa Mungu. Na watu Kama wewe yesu kasema Ni heri kufungwa jiwe nakutoswa baharini.
Watumishi wa Mungu wanajitahidi kufundisha vizuri lkn watu Kama wewe ambaye hujui hata neno Wala huamini ktk miujiza Ni tatizo. Kwani Ni muujiza gani ambao wewe umewahi ukubali kwamba umetoka kwa Mungu?
Hao akina mwamposa wanakusanya pesa nyingi lkn sio kwamba wanafikia level za roman catholic ambao wanafanya biashara wanna maseminali, Wana mahospitali, wanauza vitabu, rozali, nk. Mwamposa kuuza maji tu unaona kakumalizia hela zote wakati pesa hizo zinatumika kuendeleza kazi ya Mungu. Acheni fikra potofu.
s
Kwani waliopita kabla yake hawakufa bwashee au pope ni immortalPapa anakufa huko Vatican
umenifurahisha sanaa sanaaaaaa.Aibooo wanamwita Sir God Dady!!!😄😄😄Aisee Yani Kote mvurugano Tukienda Pentecost uko ni miujiza Roman Papa haeleweki😁😁 Lutheran nako wachungaji wanapenda Sadaka🤣🤣 na mali Sabato nako Chali wachungaji Hawasomeki🤣🤣 huku kwa ndgu zetu Wa Kobazi Majinii woiii utayapandisha kama Tuzo point za Halotel🤣🤣 Sijui nihamie Buddhism Yani nifuate Mafundisho ya Yesu na Mungu tu maana huku kwingine kunanichanganya kama CCM na CDM
Nyie si ndio mnaopiga kelele kuwa uislamu unamkandamiza mwanamke,,endeleeni kuwapa madhabahu akina Zumaridi lkn ukweli mbinguni mtapasikia tu..; WAHUBIRI/WAHUDUMU WANAWAKE.
1Wakorintho 14;32Roho za manabii zinawatii
manabii. 33Kwa maana Mungu si Mungu wa
machafuko bali ni wa amani.
Kama ilivyo katika makusanyiko yote ya
watakatifu, 34wanawake wanapaswa kuwa
kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali
wanyenyekee kama sheria isemavyo. 35Kama
wakitaka kuuliza kuhusu jambo lo lote,
wawaulize waume zao nyumbani. Kwa maana
ni aibu kwa mwanamke kuzungumza kanisani
"Hali ya Pentecoste ni mbaya kuzidi roman"
Tangu Lini Roman Catholic wakawa na hali mbaya?
Kwa hiyo inahusiana vipi? Kila nafsi itaonja mauti, Hata Mt. Paulo, Petro nk wote walishakufa, Hilo linahusiana vipi?Papa anakufa huko Vatican
Una matatizo na afya yako ya akili haipo sawakwa uaminifu kabisa roman haijawahi kuwa katika hali nzuri ya kiroho
Halihusiani na kitu.Kwa hiyo inahusiana vipi? Kula nafsi itaonja mauti, Hata Mt. Paulo, Petro nk wote walishakufa, Hilo linahusiana vipi?
Tuliza akili wewe usiwe mpingaji wa kila kitu, ufalme utakupitia kushoto alafu hao unaowaona waongo wakapasua. Mchungaji yeyote anakundi Sasa usifikiri Jambo la kuwa na kundi Ni mchezo mchezo, wale Mungu huwaangalia kwa ukaribu mno.unaweza kunionyesha kwenye maandiko baada ya kuja kwake Bwana yesu sehem wametumia hivyo?
maana hio ndio injili, maji hutumika ila si maji ya kununua.
mafuta hutumika lkin si ya kununua.
hio injili unayoisema sijaiona kwenye maandiko
Oyaweemakanisa ya kufokafoka
Tumfuate Mtume au sio?Christianity has a very weak foundation
And when the foundation is weak the structure becomes unstable and is amenable to collapse.
Tapeli yule acha kumficha yule Mmalawi alielowea Zambia na kufanya biashara ya mafuta Tunduma na Mbeya usifikiri hatumjuiTuliza akili wewe usiwe mpingaji wa kila kitu, ufalme utakupitia kushoto alafu hao unaowaona waongo wakapasua. Mchungaji yeyote anakundi Sasa usifikiri Jambo la kuwa na kundi Ni mchezo mchezo, wale Mungu huwaangalia kwa ukaribu mno.
Kipindi Cha yesu alipakwa mafuta, yesu mwenyewe alitumia tope kumfumbua mtu macho. Majuzi mwamposa kauza tope hizohizo tu kule mbeya lkn makelele kibao.
Iko hivi; huduma ya neno Ni gharama kubwa mno ukitaka kuamini hili jaribu kujenga kakibanda kadogo alafu Pima gharama ndipo utakuja kujua sadaka kwa mwamposa haziibiwi.
Unafata upepo wa maneno ya wachawi ambao wamejaribu nguvu ya Mungu na kushindwa unafikiri watakuwa na maneno mazuri kwa watumishi? Lazima wataiponda huduma, Sasa na wewe usivyo na tafakari unaungana kwenye ngoma yao mnacheza kwa pamoja pasipo kushtuka kwamba umeshapotezwa kitambo tu huku ukijipa moyo kwamba fikra zako zipo sahihi.