Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
biblia inaeleza wazi bahari ni watu wengii ambao huyo mnyama anakaa juu yaoLwiva hoja yako naielewa lakin ili kuiweka sawa zaidi ipatane na kile kimeelezwa kwenye biblia kuhusu 666 (ufunuo 13:18) lazima utoe maana ya vitu vifuatavyo ukihusianisha na tafsiri yako ya 666.
1. Joka (The dragon) ambaye alimpatia nguvu mnyama(vs 2), ambaye pia aliabudiwa kwa sababu hiyo.
2. Mnyama toka baharini, ambaye 666 inasemwa kuwa ni namba yake.
-eleza pia kwann anasemwa kutoka baharini
-vichwa kumi na pembe zake kwann zimetajwa hapa? (kimsing hizi n sifa zake bainishi)
-kwann biblia inasema alipata Jeraha kwenye moja ya vichwa vyake(13:3)
3. Bila shaka hutaacha kumuelezea pia mnyama toka nchi kavu(uf.13:11) kwa sabab tunaambiwa ana uhusiano mkubwa na mnyama wa kwanza, n kama chawa wake hivi
4. Utaeleza pia alama ya mnyama wa kwanza ni ipi
5. Kisha ndo ueleze vizur sasa 666 kuhusianisha na hivyo vitu, utakuwa umenisaidia sana kufahamu vitu hivyo!
Kumbuka 666 kulingana na kitabu cha ufunuo ni kama code ya kumfaham mnyama, sasa kama hiyo 666 ni "dhambi" au "mwili wako" lazima uelezee na huyo mnyama ambaye namba yake inasimama badala ya 'dhambi' au 'mwili wako' ni nan, na hao wengine waliotajwa (The dragon and the beast from the Land) ni akina nan? Zingatia The beast, The Dragon, from The sea, from The land. Najua unaelewa nnachojaribu kusisitiza hapa.
pentekoste ndio kanisa la mizaha duniani.Je kanisa la masanja mkandamizaji FEEL FREE CHURCH pia ni la kipentecoste ?!
ama hakika pentekoste iliahidiwa itakuwa uchi na kipofu na hata watakapoambiwa hawatakuwa na habari .Ee Kanisa la dreamers Tiptop manzese la mwanamama mbeba maono muimbaji Christina shusho je ni la kilokole ?
Vipi kanisa la mwanamama mrembo mwenye dimpozi na sauti adimu ya kukwaruza mama Bahati bukuku ni la kipentekoste ?
Vipi kanisa la mama rwakwatare mlima wa moto Assemblies Of God mikocheni B ?
2 Wathesalonike 2:9-12Ee Kanisa la dreamers Tiptop manzese la mwanamama mbeba maono muimbaji Christina shusho je ni la kilokole ?
Vipi kanisa la mwanamama mrembo mwenye dimpozi na sauti adimu ya kukwaruza mama Bahati bukuku ni la kipentekoste ?
Vipi kanisa la mama rwakwatare mlima wa moto Assemblies Of God mikocheni B ?
Ufunuo wa Yohana 2:2-3Zitaje Sasa tujue. Msiwe watu wa mashaka kwa watumishi wa Mungu. Hebu fikiria kwamba mtumishi Ni wa Mungu alafu wewe hujasimama vizuri then unamsema vibaya unafikiri Mungu anakuchukuliaje?
Nadhani ukiwatoa wa katoliki madhehebu the rest wanawake naona wanaongoza Ibada, nimeona kwenye makanisa hayo!ama hakika pentekoste iliahidiwa itakuwa uchi na kipofu na hata watakapoambiwa hawatakuwa na habari .
biblia imeweka waz mwanamke haruhusiwi kuwa mchungaji. mchungaji sharti awe mwanaume .
lakini
Hujakutana na bwana wa zumaridii akiwaponya waaminiata awe nani akikufanyia muujiza ama ishara ilinganishe kwanza na neno. ww maji na mafuta ya naitwa jina la watumishi. unasikia mtu anasema mwamposa ameniponya ama mtumishi fulani ameniponya. upofu .
Kumbukumbu la Torati 13:1-8
[1]Kukizuka katikati yako nabii, au mwotaji wa ndoto, akikutolea ishara au ajabu,
[2]ikatukia hiyo ishara au hiyo ajabu aliyokuambia akisema, Na tuifuate miungu mingine usiyoijua, tuitumikie hiyo;
;
[3]wewe usiyasikize maneno ya nabii yule, au yule mwotaji wa ndoto, kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, yuawajaribu, apate kujua kwamba mwampenda BWANA, Mungu wenu, kwa mioyo yenu yote na roho zenu zote.
.
[4]Tembeeni kwa kumfuata BWANA, Mungu wenu; mcheni na kushika maagizo yake na kuisikia sauti yake, nanyi mtumikieni na kushikamana naye.
[5]Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe, kwa kuwa amesema yaliyopotoka juu ya BWANA, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, akakukomboa katika nyumba ya utumwa, apate yule mtu kukupotoa katika njia aliyokuamuru BWANA, Mungu wako, uiendee. Ndivyo utakavyouondoa uovu utoke katikati yako.
[6]Atakapokushawishi kwa siri ndugu yako, mwana wa mamaako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa kifuani mwako, au rafiki yako aliye kama moyo wako, akikuambia, Twende tukaabudu miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako;
;
[7]katika miungu ya mataifa yaliyo kando-kando yenu karibu nawe au mbali nawe, tokea ncha moja ya dunia hata ncha ya pili ya dunia;
Namely, of the gods of the people which are round abo
[8]usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche;
T
1 Timotheo 2:8-14Nadhani ukiwatoa wa katoliki madhehebu the rest wanawake naona wanaongoza Ibada, nimeona kwenye makanisa hayo!
Ina maana hao wanawake wanakuwa kinyume na Sheria?
Mtume gani umemjaribu ukamuona muongo?Ufunuo wa Yohana 2:2-3
[2]Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo;
I know thy works, and thy labour, and thy patience, and how thou canst not bear them which are evil: and thou hast tried them which say they are apostles, and are not, and hast found them liars:
[3]tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka.
And hast borne, and hast patience, and for my name's sake hast laboured, and hast not fainted.
si sehem moja mungu hajawahi kamwe kumkabidhi mwanamke izo kazi na anasababu zake.Nadhani ukiwatoa wa katoliki madhehebu the rest wanawake naona wanaongoza Ibada, nimeona kwenye makanisa hayo!
Ina maana hao wanawake wanakuwa kinyume na Sheria?
unataka uige mtihani kama huwezi kuona kitu rahisi kama icho utaweza kuona vigumu.Mtume gani umemjaribu ukamuona muongo?
kwa kuanzia neno sioni shida ni la ibilisi, alimwambia hawa hivyo hivyo akamlisha tunda.Kuhusu kuhubiri pesa na mali sioni tatizo.. maana wanamuomba Mungu kupitia jina la Yesu awape mafanikio ya kiuchumi.
Kuhusu usasa kanisani pia sioni tatizo maana tunatumia spika,maiki na teknolojia kedekede ili kusongesha injili mbeleeee
Kuhusu wanawake kuwa wahubiri pia sio kesi. Hayo ni maoni ya paulo kama alivosema kwa maoni yake tusioe wala kuolewa tukae mabachele tuuuu ila kwa namana ya uumbaji wa MUNGU basi tuone..
Changamoto ni mavazi baadhi ya walokole tunajisahau kweny mavazi na pia kujipa haki ya kwenda mbinguni na kuwadharau wengine kiimani
Uchu wa pesa kwa Nia yakupeleka injili mbele Ni mzuri huo wewe ndio unakosea Mr.unataka uige mtihani kama huwezi kuona kitu rahisi kama icho utaweza kuona vigumu.
ni rahisi mnoo kuwajuaa. wanapenda umaarufu na pesa , na wala hawajui dhambi ni nini? mungu hana ushirika na dhambi, ukiona kanisa wanawake washenzi wamejazana makeup usoni na ziwa wameinua, wanatafuta miujiza na pesa , ,,,
hayo si maagizo ya pauli inamana ww huamini hata biblia yenyewe.Kuhusu kuhubiri pesa na mali sioni tatizo.. maana wanamuomba Mungu kupitia jina la Yesu awape mafanikio ya kiuchumi.
Kuhusu usasa kanisani pia sioni tatizo maana tunatumia spika,maiki na teknolojia kedekede ili kusongesha injili mbeleeee
Kuhusu wanawake kuwa wahubiri pia sio kesi. Hayo ni maoni ya paulo kama alivosema kwa maoni yake tusioe wala kuolewa tukae mabachele tuuuu ila kwa namana ya uumbaji wa MUNGU basi tuone..
Changamoto ni mavazi baadhi ya walokole tunajisahau kweny mavazi na pia kujipa haki ya kwenda mbinguni na kuwadharau wengine kiimani
hivi ww unajiita mkristo kweli???????Kuhusu kuhubiri pesa na mali sioni tatizo.. maana wanamuomba Mungu kupitia jina la Yesu awape mafanikio ya kiuchumi.
Kuhusu usasa kanisani pia sioni tatizo maana tunatumia spika,maiki na teknolojia kedekede ili kusongesha injili mbeleeee
Kuhusu wanawake kuwa wahubiri pia sio kesi. Hayo ni maoni ya paulo kama alivosema kwa maoni yake tusioe wala kuolewa tukae mabachele tuuuu ila kwa namana ya uumbaji wa MUNGU basi tuone..
Changamoto ni mavazi baadhi ya walokole tunajisahau kweny mavazi na pia kujipa haki ya kwenda mbinguni na kuwadharau wengine kiimani
wakiingia kanisani watakuwa kama yule malaya aliyebusu miguu ya yesu alibadilika.Uchu wa pesa kwa Nia yakupeleka injili mbele Ni mzuri huo wewe ndio unakosea Mr.
Injili ipo kwaajili ya kuwashape wanawake hao wenye makeup usoni. Unaonaje endapo wakapaka makeup then wakaishia mtaani badala ya kuja kanisani utapata faida gani?
Acha uzamani wewe